TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

clouds bana kama kuna kitu wanajua ....ni kufanya promo / marketting......jambo lao lazima litakua la nchi nzima (thanx to the late ruge)...yani hyo fiesta ukiisikia inavyotangazwa na ukienda kuionaa....unaweza baki mdomo wazi!...we jiulize tuu clouds wameajiri watu wangapi...lakini ni ma elfu ya wa tz wana mrefer to jamaa as "boss ruge"....yani ukiangalia tv hapa juzi baada ya msiba...unaweza jukuta unalia unajiuliza ivi bila boss ruge mimi ningekua wapia aisee.....baadae akili zikikurudia ndio unasema "allah, ivi mimi kumbe ni mwalimu tuu washule ya msingi fulani , hata Ruge mwenywe nilikua simjui,,,shetani shidwaaa!"


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi Ruge namfahamu kama mkurugenzi wa vipindi vya clouds,sifa yake kubwa labda ni kuanzisha fiesta na kuisimamia pamoja na hayo tumesikia vimaneno kutoka kwa sugu,jay dee na baadae diamond,sijajua alikua na wadhifa gani maana nimeona mazishi yake yamehudhuriwa na maraisi wote wawili,mawaziri wakiongozwa na waziri mkuu,mkuu wa mkoa wa dar es salaam,viongozi wa dini na kila aina ya public figure,kwa kumfahamu kwangu kudogo naona kama kawa overated,kwa wanaomfahamu vizuri naomba wanifumbue macho what am i missing about this guy.RIP RUGE.

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_3964.JPG




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sawa waHAYA kwa misifa japo yaeza kuwa kweli
Kaburi la Watani zangu wahaya mengi hujengwa na mainjinia waliosajiliwa na bodi ya mainjinia msilinganishe na ya makabila mengine ambayo kibarua wa ujenzi yeyote mwenye mwiko wa ujenzi anajenga.Injinia anayejenga lazima kwao afanyiwe interview na maprofesa mainjinia toka vyuo vinavyoheshimika
 
Nipo mpendwa, dah imekuwa kitambo sana. Itabidi siku tuanzishe thread tukutane wambea wote tupeane ubuyu maana mida wote huu naamini kila mmoja kapu lake la ubuyu limejaa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaaaaaa na kweli shoga angu mweee sema mi siku hizi nimehama mjini unanipitajeeeee na huku jamvini si mkaaji sana
 
Ukiangalia kwa kiasi kikubwa Cha watu waliojitekeza kumzika ruge ni dhahili watanzania wengi ni majobless na Wala si kana kwamba wanamapenzi mazito dhidi ya uyo jamaa lakin serikali hii kipofu yenyewe yaona fahari kwa ule wingi na kuzani ni mapenzi dhidi yake kumbuka mahala popote wanapokuwa wasanii au watu maarufu kuwepo raia wengi ni kawaida


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani Ruge amefanya Mambo mengi, ila kwa hili swala la Mazishi yake amekuwa Overrated saana!, Swala la Marais Kuhudhuria walisoma Upepo wa Msiba, Msiba uligusa wasanii wengi..Kupitia wasanii ukawagusa wananchi wengi.. Politicians wamechukulia Kama Mtaji wa Kisiasa!
 
Kuna vitu vingine ni fedheha kuvitaja. Kwanza unafanya hivyo ili iweje? Shit
Unajua wenzetu wa nchi zilizoendelea walishaona ujinga kama huu ndiyo maana wakaweka mtu anayeitwa msemaji mkuu. Sasa hapa kwetu hawa waandishi uchwara wanavamia na kumhoji mtu yoyote na wahojiwa walivyo wajinga wanaongea hovyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom