Ruge Mutahaba anaumwa nini?

simjui ruge ni nani lakn humu ndani kuna watu wana akili chafu sna wao kila kitu wanafurahia hata mtu akiwa na matatizo wanafurahi. hivi nyinyi mnaofurahia matatizo ya watu ni binadamu kweli au ni viumbe wa aina gani? bahati yenu sio admin ningekuwa nawapiga block wote wenye tabia za hivi kufanya utani kwenye matatizo
Mkuuu sio sisi ni matendo aliyoyatenda kwa wenzie.....unadhan MTU kama Sugu au Komando Jide akiwa humu ataandika comment ya kukufanya ww ufurahi?
 
Kwani ni lini vyombo vya habari vikaheshimu hiyo privacy?
Kama ana ngoma, vigo, hepatitis nk semaaa. Hata wao wamesema mengi ya wenzao.
 
Back
Top Bottom