Samahani wapendwa skuweza kuwa nanyi
wakati wa mwisho wa hu msakata wa kumbe la
dunia... mnisamehe bure ila ngoja niwawekee tu
picha za mwisho mwisho ... yaaahh Ice on a cake lol.
Asanteni sana kwa wapendwa na wapenzi wote
wa Rugby .. pamoja na guest wote mlio visit hii page
.....Tukutane miaka minne ijayo ENGLAND...... take care for now AfroD....