Rufaa za TRA zinatoka lini?

Rufaa za TRA zinatoka lini?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,460
Reaction score
4,166
Wakuu

Kwa sisi ambao hatujaridhika na matokeo ya TRA tuliambiwa tukate rufaa kwa kutuma barua kwa wahusika kueleza sababu za kutoridhika na hayo matokeo yao ambayo kiuhalisia ni yamepikwa tu.

Je majibu ya rufaa zetu yanatoka lini?
 
Mwenyewe nimeappeal ya customs officer ii,wamenijibu hivi.

Karibu TRA huduma kwa wateja. Ombi lako limesajiliwa kwa tiketi namba 37958.
Tumelipokea na tunalifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom