kwa kweli wtz tunaonekana hatuna akili kabisa maana hii habari ya zombe ni ya muda sasa, ila JK na washika dau wake moto wa jehanam unawahusu, nafikiria ile damu iliyomwagika.naumia nikifiria ndugu na jamaa wa waliouwawa kisa mali zao.
Watoto kama walikuwepo, wake zao wamebaki wajane na mzigo mkubwa wa kulea familia. Jamani jamani mtachomwa moto wote mliohusika ktk hili.
Wadau vipi ile ahadi ya waendesha mashtaka wa serikali na kauli ya JK wakat akijibu maswali live tbc kuwa wamekata rufaa.je bado tu? na je appeal si huwa zina time deadline?