Rufaa ya vyeti feki

Kweli ndugu, kuja jamaa nimesoma naye tangu O level mpaka chuo, naye jina lake lilitoka ana vyeti feki
tatizo liko hivi mkuu nsekwa, mwingine kweli alisoma labda akapata division 3 sasa anakwenda kuchongesha cheti cha kuonyesha ana division one ili aonekane ni kipanga, na siku ya uhakiki wa vyeti anaonyesha hicho cha kufoji badala ya kile cha kwake halali. Wengi wameingia kwenye mkenge kwa njia hiyo.
 
Sio kila mmoja alifoji, kunawengine vyeti vilikuwa na matatizo mengine, pia ni rahisi sana kumpata mfano kuwaita wote walio submit cheti, ukiwa interview kwa kuwauliza maswali utafahamu tuu.
Unawezaje kukaa miaka yote hiyo bila kugundua tatizo? mimi cheti changu cha form four kilionyesha jina jingine la shule niliyosoma na nilipokwenda kuchukua niligundua straight away nikawaandikia baraza la mitihani wakaniambia nitume kwa registered mail na walipokipata wakanitumia kingine kilichorekebishwa sasa kama mtu hawezi kufuatilia matatizo ya cheti chake ujue kuna walakini hapo.
 
Kuna dada mmoja namfahamu alipata zero form four lakini nimeshangaa kuona kamaliza chuo kikuu, kuna rafiki yangu aliniambia kama nakumbuka kuwa huyo dada alikua zero nikasema ndiyo akaniluliza ameonyesha vyeti gani kuingia chuo kikuu? sikua na jibu labda nilidhani chuo kikuu walianza sharia nyingine ya kuchukua watu hata kama walipata zero from four.
 
Sio kila mmoja alifoji, kunawengine vyeti vilikuwa na matatizo mengine, pia ni rahisi sana kumpata mfano kuwaita wote walio submit cheti, ukiwa interview kwa kuwauliza maswali utafahamu tuu.

Tuwekee hayo matatizo mengine tuchangie hoja!!!
 

Tatizi liligundulika mapema 2014, na cheti kilirudi baraza..... wakati wa uhakiki 2016 ofisi haikupeleka utumishi kiambatanisho cha barua ya baraza ko makosa yalitendeka ambayo yamesharekebishwa, ilautumishi ndi inatoa majibu na ofisi ndio inasubiri.
 
Hawa mawazr vivuri wamshauri mh? Haya yapo tu kujinenepea nahayajui kama kuna watu wanapitia magumu waliyosababisha wao, utaskia wanasema wanajilizsha, eti serikali makini sijui zilizopita zilikua serikali MAKINIKIA! Matamko ndo kaz yao hawana kngne, bora kumuomba mungu tu amkumbshe Mh JPM lakn sio hawa mawaziri!
 

Mwenye original ndio atapona
 
Kweli ndugu, kuja jamaa nimesoma naye tangu O level mpaka chuo, naye jina lake lilitoka ana vyeti feki
Kuna waliobadilisha grades kwa mfano hisabati alipata F form four. Mjini mipango.... Akatafuta cheti kingine na pale kwenye hisabati akaweka B. Hicho cheti ndio kilichotimika kupatia ajira aliyokuwa nayo kabla ya uhakiki.... Wanakula kichwa. Scenario zipo nyingi tofauti tofauti.
 
Vu
Vivuli hawasikilizwi.
 
Tunawaomba wabunge wetu watuulizie kwa waziri wa utumishi, a.k.a waziri wa feki na uhakiki ni lipi rufaa za walliopinga kuitwa feki zitasikilizwa?
Nimesikia majibu yanaanza kutoka 30/6, na mrufaa anayafuata mwenyewe Idodomya.
 
mi bado sana kukaribia huko kunakoitwa kuisoma namba, nachofanya nilikuwa nakifanya hata kabla huyu anayekuhenyesheni hajapendelewa kuingia majengoni!
 
Kweli ndugu, kuja jamaa nimesoma naye tangu O level mpaka chuo, naye jina lake lilitoka ana vyeti feki
Matokeo yao ya form four walipata madaraja gani?

Je vyeti walivyotumia kuajiriwa na vile walivyopeleka kuhakikiwa ndio vile vyenye matokeo waliopata walipomaliza kidato cha nne?


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…