Rufaa ya Mbowe na Matiko kusikilizwa kesho 6.2.2019

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,525
TAARIFA KUHUSU RUFAA YA MBOWE NA MATIKO:

Wakili Msomi Peter Kibatala amesema rufaa ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko itasikilizwa kesho Machi 6, 2019 kuanzia saa 3 asubuhi na Jaji Sam Rumanyika Mahakama Kuu.

Mbowe na Matiko wanashikiliwa gerezani Segerea kwa zaidi ya miezi mitatu sasa baada ya Hakimu Mashauri wa Mahakama ya Kisutu kuwafutia dhamana visivyo halali ambapo muda mfupi baadae alipandishwa cheo kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.

Kesho tujitokeze tena mamia kwa maelfu kuionesha dunia kuwa DHULUMA haijawahi kuishinda HAKI.

#FreeMbowe
#FreeMatiko

I rest my case!

Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sadist wa Magogoni ataumia sana iwapo watapewa dhamana maana ingawa teyari ameshatimiza nia yake ovu kwa kiasi fulani ila bado tu roho itamuuma.
 
Sadist wa Magogoni ataumia sana iwapo watapewa dhamana maana ingawa teyari ameshatimiza nia yake ovu kwa kiasi fulani ila bado tu roho itamuuma.
Tutamwachia kesho ila cha moto amekipata nafikiri sasa ataiheshimu Mahakama. Alifikiri Mahakama ni kama SACCOS yake ya Chadema!
 
Back
Top Bottom