Mpiganji mashuhuri
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 115
- 51
Zito alhusika moja kwa moja
Hakuna mtu yeyote anayemtaka tena huyo Kafulila. Akaendelee kutumika na mafisadi.
We kweli ni sumu! hivi unatumia akli gani kufikiri. duh, wonders shall never end.
Tulimwita TUMBILI leo serikali inatakiwa kulipa IPTL 320 bilion shillings,tueleze fisadi ni yupi?
unaweza kuelezea hii hoja yako dada yetu.Zito alhusika moja kwa moja
mkuu,kuna watu wana mtindio wa akili ilhali wanajiona ni timamu,rejea ripoti ya juzi juzo kuwa asilimia zaidi ya 40 ya watanzania wana mtindio wa akili,kwa hiyo vitu vingine usijiulize sana utaumiza kichwa bure tu
Hakuna mtu yeyote anayemtaka tena huyo Kafulila. Akaendelee kutumika na mafisadi.
Kafulila achana na kesi unapoteza mda na pesa,Jipange kwa uchaguzi ujao.
Kazi ya mahakama ni kubatilisha matokeo ya uchaguzi na si kumpa mtu ubunge
Zitto.Mpaka iishe ni 2020 tayari, itakuwa mwendo wa rufaa tu!Hakuna mbunge aliyewahi kupewa ubunge mahakamani
Huko lumumba kuna mtu anaplan kufanya malaika wawe mashetani.CDM wenye ndimi mbili! Mchafu Leo na kesho ni Malaika. Shame!
Karudie kusikiliza vizuri huko "azama"!Nimesikia kwenye azama imetupiliwa mbali
Mleta mada hajielewi ,atakuwa bavicha