huyu jamaa ni nguzo muhimu sana inayokosekana bungeni, laiti angekuwepo bungeni tungepata mengi sana zaidi ya mwiba wa escrow ambao unawasakama mafisadi wote walioiba gizani na mara taa ikawashwa! mafisadi ni kazi za shetani manake hawashibi miaka na miaka wanaibia walalahoi tu!, kwakuwa Mungu si wa mtu mmoja , kama jamaa alipokwa ushindi kimagumashi Mungu atasimamia haki na inshallah atashinda rufaa yake, namkubali sana Mr K, ni jasiri mno na naamini Mungu atampa afya daima kwa kuipigania nchi yake, huyu jamaa akiwepo kushoto kuibua mafisadi bungeni na mkuu anavyokaba penati shavu la kulia, nchi itatajirika in a very short time.
this is special kwa mafisadi kutafakari, life expectancy miaka 70 ikizidi 80 unaagwa kwa nyimbo na mapambio na kurudi mavumbini, mtu na family nzima unahitaji just one house, two sufurias moja ya ugali na moja ya mboga, unahitaji just one or two cars for family, sasa unaiba 1B and more ambazo ni haki za watu wengine kwa jili gani?
for us makapuku , we need Mr K now more than ever.