Kuna mtu amenipigia simu kuwa amesikia kuwa Godbless Lema ameshinda rufaa.
*wadau wa jukwaa hili nanyaro Ephata, Ndallo, Ngongo, Mungi, Ritz, Tume ya Katiba, Mzee wa Rula, and the likes tupeni taarifa za uhakika tuanze kujiandaa pa kuzificha sura zetu.
Sidhani KAMA TAARIFA hizi ni za kweli!
Nikiwa kunako ofisi yangu muda wa saa 3.00 asubuhi nimekutana na Lema, Ole Milya, na Mawazo wakielekea Airport ambako wanatumia helikopta ya Ndesapesa tayari kwa kwenda Simanjiro, raia wa huko wamewaita wanataka kuhamia Airtel, sorry, CDM!
And so by default value Lema asingeacha rufaa yake inasomwa akaondoka kwenda kupiga M4C!

Ni jambo jema kama kashinda rufaa yake hongera sana Kamanda Lema...jipange kurudi bungeni.[Imekuaje leo ukarudi mrengo huu!
Ni jambo jema kama kashinda rufaa yake hongera sana Kamanda Lema...jipange kurudi bungeni.