masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,834
- 14,990
Tena nasisitiza mkapinge ujenzi wa lile daraja la Mbutu ili msionekane wanafiki mbele za umma!CHemba inapiga kampeni, lakini polisi wanaona sawa.............. utahsngaa cdm wakienda igunga wanapigwa stop
dawa ni kuvuruga mikutano yao tu
Wananchi kwa sasa wanaelimika kwa kasi nzuri, sidhani kwamba watashindwa kujiuliza kua njaa inawapata kipindi cha uchaguzi tuu? Huyo anayehutubia huo upuuzi ataumbuka muda si mrefu.mkuu, pointi hii ya kugawa mahindi ndio anayotamba yano mwigulu nchemba kulalamikia cdm eti hawana utu sababu watu wenye njaa wamesaidiwa, wao wametumia msaada huo kupokonya mtu ubunge. anatamba majukwaa ya Igunga now akihubiri kuwa chadema hawana utu kwa kutaka watu wafe na njaa
Kwahiyo umemsaidia je kwa kusema hivyo?Nilishasema mwanzo, na sisiti kurudia. Dr Kafumu ni mtu msafi.
Yeye ni mhanga tu wa Siasa za majitaka. Kama mtu binafsi, yeye ni bora kuliko magamba au magwanda wengi tu ninaowajua.
Hata mimi ningekuwa Dr.Kafumu ningekataa. Kwanini CCM hawakumlazimisha Mh.Magufuli afike mahakamani wakati alipohitajika? Pia walimuharibia sana kwa kugawa mahindi ya njaa, kuwatishia wananchi kwa bastola, kuwababmbikizia wananchi kuchoma kibanda cha kuku na karatasi kusalimika, kuahidi uongo daraja la Mbutu, kuwachukulia makada wake zao nk. Hata mimi nisingependa uchonganishi kama huu utokee tena. Nampongeza sana Dr. Kafumu.
Chezea sisiem wewe!!!!!!!!!!!!!sisiem nikama mtoto wa mbuzi,ananyonya nabado anamtwanga mama yake vichwa,nakama kazaliwa dume ndio balaa tupu,akimaliza kunyonya anambashia mama yake.sisiem noma!!!!!!!!!!!!kudadadekiiiiiiiiiiiiiiiiii
Tena nasisitiza mkapinge ujenzi wa lile daraja la Mbutu ili msionekane wanafiki mbele za umma!
Alaa!!Pale ambapo mpuuzi anachanganya shughuli za kawaida za maendeleo (serikali) na kampeni
Ukiitwa mboga unawahi kwa mods
tatizo kubwaAlaa!!
Leo serikali ya ccm imekuwa poa au vipi?
Halafu mtu aliyezoea kuliwa kama mboga utamtambua tu kwa mawazo yake!
kafumu kaokokaTu'assume CCM ikishinda rufaa, kafumu atakataa kuwa Mbunge?
tatizo kubwa
kufanya kazi kwa kutimiza wajibu iwe poa kivipi.... kuhusu mboga, you did it once, uliguswa hapa mbio kwenda kuripoti,
hivi chumba cha mtihani si wanfanya mtihani wote?? wanaofeli na wanaofaulu au kuna wakati tunaambiwa usipigie kelele wanaofaulu tu??
Si kila kitu cha CCM kinapingwa na CDM , it is are on record CDM kudai daraja ni la rushwa hilo!
Leo ni kutimiza wajibu!! my foot.
Kuhusu maswala ya umboga and other sinister anti social behaviours that you are trying to portray katika mada hii, lazima ziwe reported kwa MODS, huu si uwanda wa maswahala hayo ambayo basically ni ya kijinga.
Wewe unajua unakoweza kuyapata vizuri zaidi-you started it.
Am in love with your take. Actually its not your take but the truth's take.Wakati aliyekuwa mbunge wa Igunga Bw Dalaly Peter Kafumu amesema hata kata rufaa kupinga hukumu iliyotengua "ushindi" wake wa ubunge, chama chake kupitia kwa Mwigulu Nchema kimesema kitakata rufaa hiyo. Mwigulu amesema hivyo kwenye mikutano ya chama hicho inayoendelea jimboni Igunga wakati Kafumu ametoa tamko hilo alipohojiwa na Star Tv.
Source: Star Tv Habari.
My take: Mambo si shwari ndani ya ccm maana tangu Mwigulu aanze mikutano yake Igunga, Kafumu hajawahi kuonekana.
Wakati aliyekuwa mbunge wa Igunga Bw Dalaly Peter Kafumu amesema hata kata rufaa kupinga hukumu iliyotengua "ushindi" wake wa ubunge, chama chake kupitia kwa Mwigulu Nchema kimesema kitakata rufaa hiyo. Mwigulu amesema hivyo kwenye mikutano ya chama hicho inayoendelea jimboni Igunga wakati Kafumu ametoa tamko hilo alipohojiwa na Star Tv.
Source: Star Tv Habari.
My take: Mambo si shwari ndani ya ccm maana tangu Mwigulu aanze mikutano yake Igunga, Kafumu hajawahi kuonekana.
Hapo tatizo liko wapi? chama ndiyo chenye maamuzi ya mwisho juu ya kukata au kutokata rufaa. Mwigulu kaongea hilo kwa niaba ya chama.Wakati aliyekuwa mbunge wa Igunga Bw Dalaly Peter Kafumu amesema hata kata rufaa kupinga hukumu iliyotengua "ushindi" wake wa ubunge, chama chake kupitia kwa Mwigulu Nchema kimesema kitakata rufaa hiyo. Mwigulu amesema hivyo kwenye mikutano ya chama hicho inayoendelea jimboni Igunga wakati Kafumu ametoa tamko hilo alipohojiwa na Star Tv.
Source: Star Tv Habari.
My take: Mambo si shwari ndani ya ccm maana tangu Mwigulu aanze mikutano yake Igunga, Kafumu hajawahi kuonekana.
Mkuu , msomi yeyote ataona hiyo ni typo.sasa umeongea nini na una maana ipi........ukisoma posts zako mwenye utaona umejichanganya
ushauri tu mzee wa maswahala............... read my signature
Hata mimi ningekuwa Dr.Kafumu ningekataa. Kwanini CCM hawakumlazimisha Mh.Magufuli afike mahakamani wakati alipohitajika? Pia walimuharibia sana kwa kugawa mahindi ya njaa, kuwatishia wananchi kwa bastola, kuwababmbikizia wananchi kuchoma kibanda cha kuku na karatasi kusalimika, kuahidi uongo daraja la Mbutu, kuwachukulia makada wake zao nk. Hata mimi nisingependa uchonganishi kama huu utokee tena. Nampongeza sana Dr. Kafumu.