Mimi huwa nafikiria kama mimi ndio ningekuwa Ruge au mtu yoyote angekuwa Ruge tena mwanaume kamili kweli angekubali kuwatengenezea watu mkwanja na yeye asilambe hata kdogo, au watu waendeshe magari na yeye atembee kwa mguu, awatengenezee majina mabinti tusiowajua hadi kujilikana Tanzania nzima asile hata papuchi za hawa mabinti zikiwa za moto ziliwe na viongozi, mapedeshee na wauza sura wa mjini pekee...Nikifikiria haya mambo huwa simlaumu Ruge nafikiri anapaswa kupongezwa kwa kuiona fursa na kuyafanya maisha yake yawe rahisi mno.