Ruby!!ruby.natafuta soko

Ruby!!ruby.natafuta soko

lesere

Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
14
Reaction score
0
Habari wana bodi
Mimi ni mkazi wa Arusha.Natafuta soko la Ruby,pure Ruby ya kiwango cha juu.mfafanuo wake uko hivi

Block 100kgs
kapishon 20kg
sociate tani 20.

kwa yeyote ambaye ni mnunuzi au anamjua mnunuzi tafadhali ni pm au acha comment nitakujibu.

Ahsante.
 
noaje? soko nnalo je hyo ruby ya wapi.......kama kazi kazi tupeane mawasiliano mkuuu
 
Back
Top Bottom