Ruby - Forever; Wimbo wenye Video "Covers" za Kutosha tu

Waliomfanyia ubaya ni clouds.
Ubaya kajifanyia mwenyewe kwa kukataa kushiriki kwenye tamasha la fiesta 2016 ili hali alishasaini nao mkataba,kwa usaliti huu hata angekuwa nani sidhani kama ingekuwa rahisi kuendelea kumpa promo mtu kama huyo,wala msiwalaumu clouds kwa hili.
 
Ulitaka waendelee kumnyonya?
 
Hakutaka kazi ya ng'ombe kazi kubwa. Mshahara Majani na maji.
Hivyo ndivyo mnavyowadanganya wasanii,kwamba wao ni wakubwa na kiasi wanacholipwa ni kidogo kwa hiyo wasusie au wakatae kufanya kazi na watu muhimu katika sanaa,matokeo yake ndo wanajiua kisanii badala ya kukua,mfano ni huo Ruby mwenyewe kajitia ujanja kukataa kufanya kazi na watu waliomwinua kisanii na kila mtu akamfahamu katika sanaa,matokeo yake ameporomoka hakuna hata anayemkumbuka na waliomshauri sidhani kama wanampa yale waliyomuahidi.Msiwadanganye wasanii kwamba wananyonywa ili hali si kweli.
 
Kama kuimba ni rahisi kwanini ruge na kusaga. Wasipande wao majukwaani wakaimba?
msimlazimishe MTU kufanya kazi kwa malipo kidogo. Kisa tu ulimsaidia. Akidai haki yake mnamsimanga.
 
Ndugu unapaswa kuelewa muziki una idara nyingi,si kila mmoja atakuwa muimbaji au mpiga chombo katika muziki,Kwenye muziki kuna Producer,Promoter,Manager wa mwanamuziki,kuna vyombo vya habari kuna Madensa nk,kwa hiyo usitegemee mtu mmoja atafanya kazi zote peke yake.Kifupi Ruby hana shukrani THT ndio wamemlea kimuziki na Clouds ndio wamempromoti lakini yule Binti alikosa shukrani, shukrani yake ni ya Punda,aende TBC au huko Efm alikokimbilia mwanzo wamlipe hizo hela anazodhani anastahili kulipwa.
 
Ukisema hivyo unamsimanga. Kulelewa na THT na kupewa promo na clouds sio sababu ya yeye kutokudai haki yake au kuamua. Mimi nimemuelewa Ruby. Na sikuwahi kumlaumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom