Rubani Mtanzania aliyekuwa ametekwa huko Sudani Kusini aachiwa huru bila masharti

Hawa Sudani Kusini kweli hawatujui. Wangeendelea kumshikilia waone nyuki wanavyoranda randa juu ya anga Lao na kulifuta kabisa Taifa hilo kwenye Ramani ya dunia.
Hawajui kama zama huku kwetu zimebadilika.
Hivi tupo vizuri kweli au mbwembwe zetu tu?
 
Mitandao ya Sudan Kusini inamuonyesha Rubani Mtanzania aliyekuwa "ametekwa" huko Juba kutokana na ugomvi wa upande mmoja na Serikali iliyopo madarakani.Ikihisiwa kuwa Tanzania ipo nyuma ya ugomvi wa pande mbili za mahasimu wa nchi hiyo.

Kutekwa kwa rubani huyo,kulichagizwa zaidi na ujio wa mke wa Garang na ujumbe wake kwa Rais John Pombe Magufuri,ukiambatana na Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa nchi hiyo Ndugu Garang Mabior de Garang.

Kwa "udadisi" wa picha hiyo,anayeonekana bila shaka ni Captain Mazrui,mmiliki wa kampuni ya Zenith Aviation yenye makazi yake Zanzibar.Ndege iliyokamatwa ni aina ya C208 yenye usajili wa 5H-MZA ambao ni wa Tanzania.

Kukamatwa na hadi kuachiwa kwake ni kama pamekuwa "kimyakimya".Tungojee tamko la Serikali juu ya kukamatwa na hadi kuachiwa kwa rubani huyu.(Na uhakika wa Rubani).Kwani hata vyombo vya habari vya Sudani Kusini vinasema rubani huyo hana mawasiliano na wanaserikali huko Juba.

======
Jan 2, 2017(Nyamilepedia) —– South Sudan’s main armed opposition, SPLM/SPLA(IO), released a mysterious pilot, who identified himself as Captain Mohammed Nassur Saleh, of Cessna 208B-Caravan – Registration: 5H.MZA, from their stronghold of Panyinjiar county following days of intensive investigation.

According to Mabior Garang de Mabior, the Chairman and Commander in Chief of SPLM in Opposition, Dr. Riek Machar Teny Dhurgon ordered the release of the pilot after he [Machar] was contacted by local authorities in Panyinjiar County, however, all NGO refused to pick up the stranded pilot.

“The Movement’s civil administration – the local authorities in Panyijiar County immediately alerted the top leadership of the Movement. The Chairman and Commander in Chief of the SPLM/SPLA Dr. Riek Machar Teny-dhuorgon then ordered for the release of the said pilot (days ago); however, none of the NGO’s wanted to associate themselves with the pilot.” Mabior said.

The SPLM/SPLA(IO) National Committee Chairman for Information and Public Relation, Mabior Garang de Mabior, said the pilot was allowed to fly away on humanitarian grounds and since he has returned to Juba.

“The Movement has since decided to release both the pilot and the plane on humanitarian grounds and the Pilot has since safely left our liberated territories back to Juba (today).” Mabior continued.

The innocent pilot, who carried no legal documents and had no access to any embassy in the country, blames Juba government for “lying to him that Panyinjiar was under government control”.

The IO regrets that their opponents in Juba would send an innocent pilot into their liberated areas as a bait for propaganda.

“The SPLM/SPLA(IO) regrets that the regime in Juba would send an innocent pilot into our liberated territories without information and then fabricate a story alleging the pilot is being held by the “IO” in exchange for their Spokesperson James Gadet; who was kidnapped with the help of Kenya Authorities last year. These allegations are pure propaganda.” Mabior said.

The SPLM/SPLA refutes negative propaganda that the Tanzanian pilot was being held for ransom by the rebels.

“In reference to the above subject, the leadership of the SPLM/SPLA In Opposition would like to refute the negative propaganda fabricated by the Salva Kiir Administration regarding a Tanzanian Pilot, allegedly held for ransom by the SPLM/SPLA(IO) Security Personnel.” Mabior said.

Mabior reiterates that the SPLM/SPLA(IO) is a mass popular movement with civil administration in its liberated territories and the entire Movement commends the leadership shown by the Commissioner of Panyijiar Brig. General John Tap Puot and his entire Staff, Officers, NCO’s and Men, who reacted quickly to resolve the situation.

South Sudan rebels have released foreign planes which landed without their permissions in their areas like Pagak, Uror and Jiech; reportedly, as good gestures to encourage humanitarian services in their territories.

======

Captain Mohammed Nassor Saul (Mazrui) anamiliki kampuni hiyo ambayo hufanya huduma ya ndege za kukodi toka Zanz-Dsm,Znz to Mafia na Znz to Mombasa,yawezekana safari yake kwenda Sudan Kusini ilikuwa ni ya kukodiwa kibiashara kwa ndege yake.

Chanzo: South Sudan’s Dr. Machar Ordered Release of a Mysterious Pilot and His Plane

View attachment 453400 View attachment 453401


Captain sio kila dili la kwenda ndugu yangu, hizi unstable countries Congo Sudan central Africa huko achana nao
 
Captain sio kila dili la kwenda ndugu yangu, hizi unstable countries Congo Sudan central Africa huko achana nao
Na watakuwa walimtangazia hela ya maana!!Jamaa akaamua kuingia anga kwa anga
 
"Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa nchi hiyo Ndugu Garang Mabior de Garang" Huyu si ndio yuleee Bob Marley, kumbe alikuja bongo kuonana na Mheshimiwa.
waziri32.jpg
 
Ni kweli,pia baba Yake mzazi alikuwa ni rais wa Southern Sudan marehem John Garang.Baba yake alisoma Tanga pia UDSM miaka hiyo
 
Ndio tujifunze kuwa sisi na wanasiasa ni waongeaji tu... ila watendaji wapo....

Usifikiri eti kaachiwa bila masharti... vingi vinafanyika.. serikali ndo inafahamu.... vita sio mpaka gun iwe raised... tufurahi na tujivunie nchi yetu kwa amani inayoletwa na vyombo vya ulinzi.... thnx tanzania.
 
Back
Top Bottom