Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,333
- 6,119
Huu usafiri natumia kwa sababu tu nakuwa sina namna, ila mimi sijawahi kabisa kuizoea ndege, ningekuwa mimi humo nafikiri hali yangu ingekuwa mbaya mno
Huu usafiri natumia kwa sababu tu nakuwa sina namna, ila mimi sijawahi kabisa kuizoea ndege, ningekuwa mimi humo nafikiri hali yangu ingekuwa mbaya mno
hiyo ni ajali ya ndege ya Aeroflot Flight 593 ikitokea moscow kwenda hong kong ambapo rubani aliwaalika watoto wake waje cockpit ili waone jinsi ndege inavyoendeshwa. both first officer na mwenzake walikuwa wazembe kuruhusu hali hiyo kutokea. unfortunately wote waliangamia.Kuna kesi moja ilikua ndege ya warusi ilikua inaenda Japan i think basi kuna pilot alikua likizo akawa anasafili na watoto wake sasa ile kupenda sifa akawapeleka watoto wake kwenye cockpit akawaomba wale ma pilot wenzie coz walikua wanafahamiana kuwa mwanangu anataka ku experience ku endesha ndege jamaa wakakubali da wakaweka auto pilot ngoma iko hewani na abiria wa kutosha kama 200 hivi dogo si akauchezesha usukani dege likayumba akauludisha ikakaa sawa wote wakafurai badae wazee wakawa wanapiga story wamejisahau dogo akauchezesha usukani akapiliza limit ya ile auto pilot ku handle ndege ikageuka kilichowapata mungu anajua hakutoka hata mtu mmoja tangu kipindi hicho ikapitishwa sheria watoto hawaluhusiwi kwenye cockpit so nilichoka kusema sometimes auto pilot huwa zina fail
Islamabad to london ni parefu sana so ni obvious aliiweka ndege ktk auto pilot na huyu mwanafunzi ni mwanafunzi kwa jina tu ila atakuwa vizuri kabisa!Kwa ufupi,
Ndege hiyo ilikuwa na abiria zaidi ya 305 ikisafiri kutoka mji mkuu wa Pakistan, Islamabad kuelekea London, Uingereza.
Rubani auchapa usingizi ndani ya ndege, azua tafrani
Islamabad, Pakistan. Abiria waliokuwa wakisafiri na ndege ya Shirika la Ndege la Pakistan (Pia) waliingiwa taharuki baada ya kugundua kuwa rubani wa ndege hiyo alikuwa ametoka katika chumba chake na kuelekea sehemu nyingine kulala.
Ndege hiyo ilikuwa na abiria zaidi ya 305 ikisafiri kutoka mji mkuu wa Pakistan, Islamabad kuelekea London, Uingereza.
Rubani huyo, Amir Akhtar Hashmi anadaiwa kumwacha rubani mwanafunzi katika chumba cha kuongezea ndege na kwenda katika moja ya sehemu za abiria ambako alijifunika blanketi na kulala.
Tukio hilo lilitokea muda mchache baada ya ndege hiyo kuanza kuruka.
SOURCE:MWANANCHI
wanakuwa katika majukumu mbalimbali na ranks tofauti. nadhani mtoa maada alikuwa anazungumzia replacement ya captainwe acha umbea 305 pipa la watu hao halipushiwi na watu wawili kwa Cabin kuna watu kama watatu mpaka watano
wanakuwa katika majukumu mbalimbali na ranks tofauti. nadhani mtoa maada alikuwa anazungumzia replacement ya captain
Shanta mkuu kama kwenye BajajKumbe hata kwenye ndege wanaachiana deiwaka
Aiseee!! Kumbe tuko wengiHuu usafiri natumia kwa sababu tu nakuwa sina namna, ila mimi sijawahi kabisa kuizoea ndege, ningekuwa mimi humo nafikiri hali yangu ingekuwa mbaya mno
Hata kama ndege inajiongoza (autopilot) huwezi kutoka kwenye cockpit uende kulala. huyo jamaa kajifuta kazi.
Kuna kitu kinaitwa automatic pilot... Ndege ikishapaa na kukaa angani vizuri, inawekwa automatic pilot na rubani hupumua kidogo..
Cc: mahondaw
Kuna kitu kinaitwa automatic pilot... Ndege ikishapaa na kukaa angani vizuri, inawekwa automatic pilot na rubani hupumua kidogo..
Cc: mahondaw