Rubani auchapa usingizi ndani ya ndege

Rubani auchapa usingizi ndani ya ndege

Mkuu Watu wenye Mtazamo/Imani Kama yako huwa siwaelewagi kwenye swala hiyo hiyo imeandikwa wapi? Kwa hiyo Yule maskini ya Mungu ambae amezaliwa Na kuzeekea kijijini ikitokea Kama amepangiwa kufa Kwa ajali ya ndege inamana itatokea muujiza wa kupanda ndege from where iki kile alichoandikiwa kikatimie kwamba akafe Kwa ajali ya ndege? Naomba nisaidieni kinielemisha hapo maana tunajifunza kila siku!
Hata mimi huwa siwaelewi kabisa, eti ajali haina kinga, mara kifo hupangw
Mkuu Watu wenye Mtazamo/Imani Kama yako huwa siwaelewagi kwenye swala hiyo hiyo imeandikwa wapi? Kwa hiyo Yule maskini ya Mungu ambae amezaliwa Na kuzeekea kijijini ikitokea Kama amepangiwa kufa Kwa ajali ya ndege inamana itatokea muujiza wa kupanda ndege from where iki kile alichoandikiwa kikatimie kwamba akafe Kwa ajali ya ndege? Naomba nisaidieni kinielemisha hapo maana tunajifunza kila siku!
Hata mimi huwa siwaelewi kabisa, eti ajali haina kinga, mara kifo hupangwa na Mungu, nk. Hizi zote ni imani kinyume na Kweli hata
Mkuu Watu wenye Mtazamo/Imani Kama yako huwa siwaelewagi kwenye swala hiyo hiyo imeandikwa wapi? Kwa hiyo Yule maskini ya Mungu ambae amezaliwa Na kuzeekea kijijini ikitokea Kama amepangiwa kufa Kwa ajali ya ndege inamana itatokea muujiza wa kupanda ndege from where iki kile alichoandikiwa kikatimie kwamba akafe Kwa ajali ya ndege? Naomba nisaidieni kinielemisha hapo maana tunajifunza kila siku!
Hata mimi huwa siwaelewi kabisa, eti ajali haina kinga, mara kifo hupangwa na Mungu, nk. Hizi zote ni imani kinyume na Kweli hata za huyu Mungu hakika. Tunajidanganya sana.
 
yeah kama alipangiwa afe akiwa katika ndege au afe kwa ajali ya ndege then atakufa tu katika hiyo situation hata kama alikua maskini hana ata shillingi. there are millions of ways ambayo zitasababisha yy awepo kwa ndege at that moment. kwa mfano, anaweza akacheza bahati nasibu akshinda pesa nyingi akapanda ndege, au anaweza kupata utajiri kdogo kdogo hadi kufikia uwezo wa kupanda ndege, au inawezekana alikua na ndoto siku moja nae apande ndege, hivyo akawa ana dunduliza pesa kdogo kdogo etc.. kama nlivyosema there are millions ways or even infinity.
Vipi kabla ya ndege kugunduliwa kwa vijiakili vya wanadamu Sir God alikuwa hawa assign watu wafe kwa ajali za ndege, kwahiyo naye Mungu anabadilisha gia kulingana na maendeleo yetu wanadamu? Duh! Hii kali.
 
Kwa ufupi,

Ndege hiyo ilikuwa na abiria zaidi ya 305 ikisafiri kutoka mji mkuu wa Pakistan, Islamabad kuelekea London, Uingereza.

Rubani auchapa usingizi ndani ya ndege, azua tafrani
Islamabad, Pakistan. Abiria waliokuwa wakisafiri na ndege ya Shirika la Ndege la Pakistan (Pia) waliingiwa taharuki baada ya kugundua kuwa rubani wa ndege hiyo alikuwa ametoka katika chumba chake na kuelekuea sehemu nyingine kulala.
Ndege hiyo ilikuwa na abiria zaidi ya 305 ikisafiri kutoka mji mkuu wa Pakistan, Islamabad kuelekea London, Uingereza.

Rubani huyo, Amir Akhtar Hashmi anadaiwa kumwacha rubani mwanafunzi katika chumba cha kuongezea ndege na kwenda katika moja ya sehemu za abiria ambako alijifunika blanketi na kulala.

Tukio hilo lilitokea muda mchache baada ya ndege hiyo kuanza kuruka.

SOURCE:MWANANCHI
Kichekesho.Ndege kubwa katika masafa marefu Pilot ukishaseti computer zako unaweza ukaondoka kwenye cockpit kwa muda.Kweli ushamba ni mzigo.Walidhani ni basi ambalo dereva lazima ashike usukani kila saa.
 
Hii habari niliisoma sehemu,Pilot alilala for 2 hrs! Ila nadhani alikua anajua kua wapo wenye uwezo wa kuiendesha bila uwepo wake,coz kama ni ajali hata yeye ingemkuta coz nae alikua ndani ya hiyo hiyo ndege.
 
Vipi kabla ya ndege kugunduliwa kwa vijiakili vya wanadamu Sir God alikuwa hawa assign watu wafe kwa ajali za ndege, kwahiyo naye Mungu anabadilisha gia kulingana na maendeleo yetu wanadamu? Duh! Hii kali.
Upeo wetu (binaadamu) wa kufikiria ni mdogo sana. hivyo kuna mambo ukiyatafakari huwezi pata majibu yake, na ndio maana Mungu akashusha vitabu vitupe muongozo katika hili. kuna mambo maswali binaadamu hatuna majibu yake,..

nikuulize swali: je ww unalo ini (liver)? ulishawahi kuliona kama unalo? una uhakika wa asilimia ngapi kama unalo?

nadhani swali lako si kuhusu ajali-ndege things, swali lako ni "je Mungu yupo"? ..

sizani kama rubani alikuwa anasema sahihi. navyojua ndege hizi kubwa zinazosafiri umbali mrefu (over continental) huwa wana switch kwenye autopilot navigation pale wanapokuwa wamefikia kiwango cha altitude (cruising altitude) kinachotakiwa baada ya maelekezo kutoka kwa air traffic controller. swali la msingi ni kwa nini wana-engage autopilot, ni kupunguza uwezekano wa ndege kuyumba na kurahisisha abiria kusafiri raha mstarehe...(autopilot vs manual model). ndege inapokuwa angani lolote linaweza kutokea kwa mfano ndege kumis-behave kutokana na turbulence or technical issues...na ni jukumu la rubani kuwepo na ku-fix hizo errors. jambo jingine ni crossing air traffic, rubani lazima awe macho kuangalia njia anayotumia na ndege nyingine anazopishana nazo ili ku-avoid mid-air collision...(kwa msaada wa air traffic controller ambao wanakuwa kwenye zile control tower...kwa ndege za sasa kuanzia technology ya DC-9, DC-10 na haya ma-boeing na Airbus kama ndege 2 ziko kwenye same cruising altitude, alert warning itatoka kwenye each flight....descend...or..Climb! sasa kasheshe itakuwa badala ya mmoja apande na mwingine ashuke...wote wanakuja ku-execute the same decision...ndo maana unasikia ndege za abiria zimegongana angani...(uzembe wa mwongoza ndege na Rubani pia)...Refer case ya Bashkirian Airlines Flight 2937 against DHL Flight 611 maarufu kama Überlingen mid-air collision

https://www.google.com/url?sa=t&rct...8Q_ZtgKYbO_KfafYg&sig2=CT6Wiv4oXRDayrHDPod9bQ

Kwenye iyo "reference case" ya mid air collision nakumbuka baada ya ripoti ya ajali kutoka yule lawyer muitaliano aliepoteza mke na mtoto kwenye ajali alisafiri kutoka Italia mpaka ujerumani akaja akamchoma kisu na kumuua yule jamaa wa "tower" aliesababisha ajali..

Kwa kuongezea kidogo hapo: kwenye ndege kuna kifaa kinaitwa TCAS - "Traffic Collision Avoidance System" ichi kifaa kinacontrol ajali kama ndege zinasafiri kwenye usawa mmoja..

Ikitokea hivyo ichi kifaa kinapeleka taarifa kwa ndege zote mbili na kinashauri ndege moja ishuke na nyingine ipande..

Sasa sheria za ndege kwa nchi husika zinatofautiana.. kuna nchi nyingine maelezo ya ATC (controller) ndio yanapewa kipaumbele na sio "Instruments" za ndege hapo ndipo paliposababisha iyo ajali maana ATC aliiambia ishuke ndege iliyopaswa ipande juu na ndipo ajali ikatokea..
 
Kwa ufupi,

Ndege hiyo ilikuwa na abiria zaidi ya 305 ikisafiri kutoka mji mkuu wa Pakistan, Islamabad kuelekea London, Uingereza.

Rubani auchapa usingizi ndani ya ndege, azua tafrani
Islamabad, Pakistan. Abiria waliokuwa wakisafiri na ndege ya Shirika la Ndege la Pakistan (Pia) waliingiwa taharuki baada ya kugundua kuwa rubani wa ndege hiyo alikuwa ametoka katika chumba chake na kuelekea sehemu nyingine kulala.
Ndege hiyo ilikuwa na abiria zaidi ya 305 ikisafiri kutoka mji mkuu wa Pakistan, Islamabad kuelekea London, Uingereza.

Rubani huyo, Amir Akhtar Hashmi anadaiwa kumwacha rubani mwanafunzi katika chumba cha kuongezea ndege na kwenda katika moja ya sehemu za abiria ambako alijifunika blanketi na kulala.

Tukio hilo lilitokea muda mchache baada ya ndege hiyo kuanza kuruka.

SOURCE:MWANANCHI
Huyo rubani ana roho nzuri sana inaonyesha hana mtimanyongo kwa huyo mwanafunzi ndo maana kamuambia dogo komaa
 
Upeo wetu (binaadamu) wa kufikiria ni mdogo sana. hivyo kuna mambo ukiyatafakari huwezi pata majibu yake, na ndio maana Mungu akashusha vitabu vitupe muongozo katika hili. kuna mambo maswali binaadamu hatuna majibu yake,..

nikuulize swali: je ww unalo ini (liver)? ulishawahi kuliona kama unalo? una uhakika wa asilimia ngapi kama unalo?

nadhani swali lako si kuhusu ajali-ndege things, swali lako ni "je Mungu yupo"? ..

Hapana, hujanielewa au ni mimi sijakuelewesha vyema, naamini kuna nguvu ya ASILI ipitayo nguvu zote na ndio asili ya yote, tunamuita Mungu.

Nisichoamini mimi na ambacho ndo ukweli wenyewe, kwamba Mungu anapanga kila kitu kinachomtokea au kumzunguka mwanadamu au viumbe, big no. Ametoa kanuni, ni jukumu letu kunifuata na zipo tangible.

Usipozifuata zitakufikisha mahali na akizifuata pia zitakufikisha mahali pake. Ni kanuni tu, kila idara kuna kanuni zake, pasi kanuni hakuna litakalompa kuwa kuwepo.

Sasa sisi tunavunja kanuni ukilipata linalokupata lawama kwa ASILI kuu, ni kosa. Mfano, gari umeambiwa lipakie watu 30 na tumepewa kanuni za jinsi ya kulimiliki na kuliendesha, menu book, hufanyi, yakikutukia eti Mungu kapanga, hapana.
 
Huu usafiri natumia kwa sababu tu nakuwa sina namna, ila mimi sijawahi kabisa kuizoea ndege, ningekuwa mimi humo nafikiri hali yangu ingekuwa mbaya mno
Ni wasiwasi wako tu ila ujue usafiri wa ndege ndio usafiri salama zaidi kulinganisha na vyombo vyote vingine vya usafiri..
 
sio ishu sanaa ndege za siku hizi ni full auto piloting... marubani tumekuwa kama backup tu.. incase auto pilot ya kiwanja husika haipigi mzigo vizuri!!
 
Kuna kesi moja ilikua ndege ya warusi ilikua inaenda Japan i think basi kuna pilot alikua likizo akawa anasafili na watoto wake sasa ile kupenda sifa akawapeleka watoto wake kwenye cockpit akawaomba wale ma pilot wenzie coz walikua wanafahamiana kuwa mwanangu anataka ku experience ku endesha ndege jamaa wakakubali da wakaweka auto pilot ngoma iko hewani na abiria wa kutosha kama 200 hivi dogo si akauchezesha usukani dege likayumba akauludisha ikakaa sawa wote wakafurai badae wazee wakawa wanapiga story wamejisahau dogo akauchezesha usukani akapiliza limit ya ile auto pilot ku handle ndege ikageuka kilichowapata mungu anajua hakutoka hata mtu mmoja tangu kipindi hicho ikapitishwa sheria watoto hawaluhusiwi kwenye cockpit so nilichoka kusema sometimes auto pilot huwa zina fail
 
ni kitu cha kawaida hicho rubani anaweza kuset ndege ikaenda yenyewe sema huwa wanaogopa abiria wanaweza pata wasiwasi km hivyo
Kweli kabisa, ndege nyingi zina auto pilot facility, una feed root baada ya kufika kwenye cruising altitude, hapo hata ukiuchapa usingizi hamna noma, usafiri wa ndege siyo kama wa aboud ana Mohamed trans.
 
Hapana, hujanielewa au ni mimi sijakuelewesha vyema, naamini kuna nguvu ya ASILI ipitayo nguvu zote na ndio asili ya yote, tunamuita Mungu.

Nisichoamini mimi na ambacho ndo ukweli wenyewe, kwamba Mungu anapanga kila kitu kinachomtokea au kumzunguka mwanadamu au viumbe, big no. Ametoa kanuni, ni jukumu letu kunifuata na zipo tangible.

Usipozifuata zitakufikisha mahali na akizifuata pia zitakufikisha mahali pake. Ni kanuni tu, kila idara kuna kanuni zake, pasi kanuni hakuna litakalompa kuwa kuwepo.

Sasa sisi tunavunja kanuni ukilipata linalokupata lawama kwa ASILI kuu, ni kosa. Mfano, gari umeambiwa lipakie watu 30 na tumepewa kanuni za jinsi ya kulimiliki na kuliendesha, menu book, hufanyi, yakikutukia eti Mungu kapanga, hapana.
ni kweli Mungu ameweka kanuni na ndio maana kuna watu wataenda peponi na watu wataenda motoni

Kama ingekua binaadamu ni viumbe tunao ishi kwa "script" then mtu angeona kuwa sio fair kwa Mungu kuwa adhibu wale watao muasi maana yeye ndio kawapangia wamuasi, right?

je nabii Adam asingekula lile tunda kule peponi sisi leo tusingekuwepo hapa? je tuna exist accidentally just because walikula (Adam {a.s}) hilo tunda?

Back
Top Bottom