Ruangwa Moja

Ruangwa Moja

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,199
Reaction score
855
Nimemisi white party bhana, . .ni hizi safari zangu zinanibania, nikiwa ruangwa, lindi sa hivi najitahidi kuchochea moto wa gesi kwa mabua.
 
Unachoe moto wa gesi kwa mabua! ngoja nikuletee petrol pure
Nimemisi white party bhana, . .ni hizi safari zangu zinanibania, nikiwa ruangwa, lindi sa hivi najitahidi kuchochea moto wa gesi kwa mabua.
 
Nimemisi white party
bhana, . .ni hizi safari zangu zinanibania, nikiwa ruangwa, lindi sa
hivi najitahidi kuchochea moto wa gesi kwa mabua.

Don Mangi,pitia pale Royal kuna supi ya kuku wa kienyeji!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom