Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Duh,ni aibu ya mwaka aisee,nako haka kabint darasa la tano kanawajua wanaume?
Angalia mzee alivyokuwa kama kuku aliyemwagiwa maji! Kaumbuka vibaya sanaBasi shetani hapo kashasingiziwa vya kutosha,.
Hahahaa umeona eeeMtt wa darasa la 5 kama inaingia kbs breki pumb.u kweli dunia imeisha.
Wazee kama hawa wanatakiwa wapigwe mawe mpk kufa
Kufumaniwa kubaya,Angalia mzee alivyokuwa kama kuku aliyemwagiwa maji! Kaumbuka vibaya sana
Alikuwa kituo gan awaliHuyu sister dread yuko Moro Siku hizi Kumbe!