Rptn.Duh m/mke huyu kiboko...

Jagarld

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
2,515
3,040
Mdowezi mmoja alifumaniwa, mwenye mke akamloga nyeti zake zikatoweka akawa flat, ikabidi arudi home na kujifanya mgonjwa ili mkewe asijue. rafiki yake akamshauri akaombe msamaha ili arudishiwe nyeti zake, kufika akasamehewa na akaletewa ungo uliojaa nyeti kaambiwa chagua yako hakuweza kuijua ikabidi akaungame kwa mkewe ili waende kwa pamoja kuitambua. kufika tu mke akaangaliaa, na mara akasema ya kwetu ni hii, ila hii kubwa ni ya Patrick yule fundi, na hii nyeupe ni ya yule Mpemba! Kilichofuata unajua!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom