Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,138
Just ha ha ha...
Hivi kuna umuhimu wa kubebana na RPG kitaani....?
Hivi kuna umuhimu wa kubebana na RPG kitaani....?
Nashangaa.
Mmemaliza mapinduzi ( revolution) ya kumpindua raisNashangaa.
Ni ushamba tu. [emoji57] [emoji57] [emoji57]
kulikua na mapinduzi?Mmemaliza mapinduzi ( revolution) ya kumpindua rais
Ipi sio silaha ya kivitaMbwembwe za bure....hiyo ni silaha ya kivita
Akina nani ndugu?Mmemaliza mapinduzi ( revolution) ya kumpindua rais
Ahaaaa hukuungana na dada wa taifa la nyumbu!!Akina nani ndugu?
Niko shamba huku namalizia kuvuna karanga. Mkimaliza kuandamana zitakua zishakauka, zinaenda kiwandani kutengeneza peanut butter!