Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
SERIKALI imetoa uhakika wa amani, ulinzi na usalama kwa wawekezaji wote ambao tayari wanafanya shughuli zao na wale wenye dhamira ya kufanya uwekezaji katika mkoa wa Geita.
Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani Geita imetoa kauli hiyo mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya umma na serikali wilayani Chato mkoani humo.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita, Safia Jongo amesema jeshi la polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vimejizatiti kuhakikisha hakuna tishio la usalama kwa wawekezaji.