Rpc Ruvuma asipofanya hivi,awajibishwe

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,012
Serikali kupitia naibu waziri imeonya wale wanaotangaza kuna njaa lakini nimeona kwenye taarifa ya habari kwamba kuna wanakwaya wamekusanyika huko Songea kuombea taifa juu ya baa la njaa
Na majuzi kuna viongozi wa kidini walitoa hadi waraka, ina maana hawa wako juu ya sheria?RPC wa Ruvuma kamata hao watu haraka weka ndani,wanachafua jina la nchi ,wamehongwa na wafanyabiashara wanaotaka kuingiza mahindi bila kulipia ushuru
Njaa hakuna serikali tukufu iliyowekwa na Mungu ishasema,mbona wabishi hivyo? get back to work, hapa kazi tu.
 
Back
Top Bottom