RPC Mwanza : Nilisema ' Kidumu Chama Cha Mapinduzi, sikusema CCM Oyee…'

RPC Mwanza : Nilisema ' Kidumu Chama Cha Mapinduzi, sikusema CCM Oyee…'

huyu hajashabikiaispokua kaunga mkono jambo alilofanya mwl.... kwa hiyo angesema anaunga mkono jambo la alilofanya mwl la kukomesha ukabila akasema liendelee na kudum ungelalamika pia?
Kwa hiyo Mwalimu pia ndiye aliyeasisi hiyo hoja ya kutaka vyama vingine 'vifilie mbali?' usimtetee mpumbavu,usije na wewe ukaonekana ni mpumbavu.
 
avevunja katiba gani wakati anaheshim kipengele cha uhuru wa mawazo na kujieleza, yeye amesema angependa vitu alivoanzisha mwl vidumu ikiwemo sisiem... ina maana anganzsha NCCR au CUF nayo angesema idumu... emu mueleweni huyu kamanda. msingi wake n kwa kua tu hiki chana kimeanzshwa na mwl ndio maana anasema kidumu
Hebu sasa hilo swali muulize IGP baada ya kumsikiliza vizuri! Inspekta Jenerali Asikitishwa na Salamu ya Askari wake aliyotoa ya Kidumu Chama cha Mapinduzi
 
Huyo ukurugenzi wa uchaguzi unamvaaa kabisa,ushindi ni wa uhakika, tena apewe wa mkoa mzima
 
Hii nchi unaweza kukufuru Mungu kukuleta huku
Tatizo sio kuzaliwa hii nchii, "Jiwe halijapata kuwa na uhai ndani yake...." hii itaisha pale wenye akili watapozitumia akili zao kusaidia wajinga kupata maendeleo na sio wasio na akili kutafuta maendeleo alafu wenye akili wanangalia tu....MF. Bashite hakustaili kuwa kiongozi wakati ubashite umemng'ang'ania kichwani....ndio maana tunaishi na slogani za kijinga eti WATAPATA TABU SANA na watu wanafurahia haya ni mawazo ya kimaskini na sio ya kimaendeleo.....[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Back
Top Bottom