Kelvin A. Mtoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2013
- 208
- 187
!
Kamanda Mangu amebariki maandamano hayo na sasa hivi gari la matangazo la polisi linapita mtaani kuwatahadharisha watu wote wanaoendesha shughuli zao kando ya barabara yatapopita maandamano hayo. Tahadhali hiyo ni kuwataka kuwa makini na mali zao wakati wa maandamano ili kuepusha vurugu. ulinzi ni wa hakika .KAZI NZURI MANGU..
mwanza akikisha uyo meya wa kichina anang'oka
Nasikia mabomu yanapigwa, mkuu wa mkoa kawaagiza polisi watekeleze Pinda legacy!!!
Nasikia mabomu yanapigwa, mkuu wa mkoa kawaagiza polisi watekeleze Pinda legacy!!!