tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,755
Graduate anayeanza kazi basic salary ni 860,000...Huyu hata cheo kimoja hana...jinyonge tu
kwahiyo hao wanaokaa barabarani ni graduate wangekua wanalipwa laki 8 wasingekua wanakula ovyo rushwa mpka buku 2000......mimi nawajua kibao elimu yao ni shida kazi rushwa tu kuanzia saa 1 asubuhi mpka saa 9 wameshasepa