Hahaha..kwa maslahi yapi watakayopata ikiwa hao wanaosemwa watarekebishwa?.Kuna harufu isiyo sahihi waleta hoja naona wanakata kulitumia Jukwaa kwa vita ya kimasilahi hii ni thread sijui ya pili kuhusu Leopard Tours na mahusiano na Watumishi wa Umma.
Kwani usalama wa taifa hawapo kwenye malipo ya haya majizi? CCM nzima iko mifukoni mwa wafanya biashara. Muombeeni Magufuli maana hii ni vita yake binafsiUsalama wa Taifa, wafanye kazi yao wataupata...!
Wamezidi njaa mi juzi tu wamenipiga libuku 20 nna hasira nao mbaya kabisapamoja na yote hayo hivi nyinyi watu wa arusha kila mara mnaugomvi na polisi? simtetei kamanda lakini
Hahaha..kwa maslahi yapi watakayopata ikiwa hao wanaosemwa watarekebishwa?.
Hatuzungumzii usomi wala nini tunataka kujua askari polisi wa kawaida hana miaka mitano kazini, ana nyumba self, ana nyumba za wapangaji, ana magari ya abiria tunaita vifodi ana gari yake ya kuembelea je mshahara wake na mikopo vinatosheleza kuwa na vitu vyote hivi??? Kuna watumishi wanafanya kazi miaka 40 wanakuja kujenga kibanda na hela za mafao, tuwe serious kwenye kuchangia hii mada.Swala la kuwa na gari sio ishu maana wengine wasomi mishahara yao iko juu na kuna mikopo, tatizo labda ni hiyo rushwa.
Ati wana pita speed limit isizidi 50km/h hakuna kibao cha speed limit RTO yote hayo anajua ila kwa vile ni kimaslahi hakemei hii hali Jamani tutafikaaa????Kuna askari Pale Maeneo ya Raskazonii Kama unaelekea Ngaramtoni, kwa kweli wamekua keroo..
Sijui ni gari langu tuu(kirikuu) au ni kwa magari yote..???Nikupigwa mkono nakutafutiwa kosa..
Ukitoka hapo wapo Technico/TripleA...
Embu tokeni nje ya mji huko ndiko makosa kibao mtayapata..cc traffic police Arusha
ukiona hivyo watu wa Arusha ni waelewa wa mambo na wasema kweli ndio maana yote hayo yanafahamika mapema sio kama mikoa mingine mpaka mambo yanaharibika kabisapamoja na yote hayo hivi nyinyi watu wa arusha kila mara mnaugomvi na polisi? simtetei kamanda lakini
kwanza haya mambo ya speed llimit yanatakiwa yaangaliwe upya maana kwa wakati huo magari mengi yalikuwa na speed mwisho 180 lakini sasa hivi kuna magari mpaka speed ya 300 kwa saaAti wana pita speed limit isizidi 50km/h hakuna kibao cha speed limit RTO yote hayo anajua ila kwa vile ni kimaslahi hakemei hii hali Jamani tutafikaaa????
Brother silalamikii mwendo najiuliza kwanini watege watu sehemu ambazo hakuna onyo la kibao?? Kwamba wanataka tuendeshe magari kwa hisia na sio kwa taratibu za barabara?? Pale Madiira Tengeru utakuta wako pia na touch ya mwendo wanataka speed 50 lakini hakuna kibao wala makazi ya watu, tunakwenda wapi na hawa trafic wa Arusha?? Pale kinachotakiwa ni hakuna kupita gari jingine kwa sababu ya daraja na sio mwendo kasi.kwanza haya mambo ya speed llimit yanatakiwa yaangaliwe upya maana kwa wakati huo magari mengi yalikuwa na speed mwisho 180 lakini sasa hivi kuna magari mpaka speed ya 300 kwa saa
Swala la kuwa na gari sio ishu maana wengine wasomi mishahara yao iko juu na kuna mikopo, tatizo labda ni hiyo rushwa.