RPC Dodoma: Watakaoandamana Aprili 26 watajikuta na vilema. Watapata tabu sana!

kama hadi sasa hujui ni nani kauanzisha basi utapata tabu sana nasema utapata tabu sana kipigo chako kitakuwa cha mbwa koko
 
Kuna huu msemo umeenea kwa kasi sana kama moto wa mabua WATAPATA TABU SANA hivi kweli unamwombea mtanzania mwenzako apete tabu hili iweje
 
Back
Top Bottom