RPC Dodoma: Watakaoandamana Aprili 26 watajikuta na vilema. Watapata tabu sana!

Habari wanajamvi,kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka kuhusu huu msemo MTAPATA TAABU SANA,msemo huu umeshika hatamu siku za hivi karibuni na kuufanya ule wa PAMBANA NA KHALI YAKO kuwa kama umepotea,na hivi karibuni tumemsikia Mh .Jpm pale airport kwenye mapokezi ya ndege pia akiutumia,,
Kuwa kama kuna watu hawafurahii ujio wa ndege hii basi watapata taabu sana,
Nahitaji kujua kwa mwenye ufahamu aliyeanzisha msemo huu atujuze tafadhali
Nawasilisha karibuni
 
Nihuyu jamaa baada ya kukaa nakuanza kufikiria ana mademu wengiiii lkn hana hela ndo akajisemea " Watapata tabu sana" ..
IMG_20180713_204841.jpg
 
Habari wanajamvi,kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka kuhusu huu msemo MTAPATA TAABU SANA,msemo huu umeshika hatamu siku za hivi karibuni na kuufanya ule wa PAMBANA NA KHALI YAKO kuwa kama umepotea,na hivi karibuni tumemsikia Mh .Jpm pale airport kwenye mapokezi ya ndege pia akiutumia,,
Kuwa kama kuna watu hawafurahii ujio wa ndege hii basi watapata taabu sana,
Nahitaji kujua kwa mwenye ufahamu aliyeanzisha msemo huu atujuze tafadhali
Nawasilisha karibuni
RPC dodoma, pia alianzisha kipigo cha mbwa koko
 
Nadhani ni Haji Manara. Alikuwa akiwatania yanga kuhusiana na yanayowakumba kwa sasa.
RPC wa Dodoma akiwa tahadharisha wananchi wa Dodoma juu ya kuandamana kwenye skuku ya muungano

na ukavuma baada ya clip moja wakati wa fainali za kombe la dunia jamaa alisema unaizungumziaje liverpool....

baadae ukaibukia kwenye vyombo vya habari tena na mwisho mkuu kautumia kwenye mapokezi
 
Ni kamanda wa polisi dodoma ndo muanzilishi usiombe akukamate kwa kosa lolote lile yeye ana maneno mengi ila anakuambia utapata tabu sana kijana.
 
Habari wanajamvi,kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka kuhusu huu msemo MTAPATA TAABU SANA,msemo huu umeshika hatamu siku za hivi karibuni na kuufanya ule wa PAMBANA NA KHALI YAKO kuwa kama umepotea,na hivi karibuni tumemsikia Mh .Jpm pale airport kwenye mapokezi ya ndege pia akiutumia,,
Kuwa kama kuna watu hawafurahii ujio wa ndege hii basi watapata taabu sana,
Nahitaji kujua kwa mwenye ufahamu aliyeanzisha msemo huu atujuze tafadhali
Nawasilisha karibuni
Aliuanzisha Kamanda wa Polisi Dodoma baada Soud Brown akaunakshi kwe kipindi chake cha Shilawadu alikata baadhi ya maneno akatengeneza ka video ka huyo Kamanda ka hayo maneno kakawa kanasambaa ndio huu msemo ukapata nguvu sana mpaka sasa.........pia hakuusema kwenye kutahadharisha maandamano ya Muungano kama wengi wasemavyo bali alikuwa anaongelea uhalifu unaofanyika Dodoma
 
Back
Top Bottom