Tunapokwenda siko...kama taarifa hii ni ya kweli....hakuna mwenye halali wa kukatisha uhai mtu hata iweje..kwani walishindwa kuwakamata wakiwa hai ili wafunguliwe mashtaka???
Mkuu hilo eneo walikouawa hao askari majangili ni Mita chache kutoka nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo hilo Bw.Gosbert Blandes-CCM huyo Mbunge nae Bonge la Jambazi kabla ya kuwa Mbunge alikuwa anamiliki Hiace za kusafirisha abiria kutoka Omurushaka-Kayanga na Omurusha-Nyaishozi hadi Chanyamisa ambako ndo nyumbani kwake.Inabidi CDM tujiweke sawa kuchukua hilo Jimbo.
Huyu Mbunge Blandes si ndiyo aliyepewa UBUNGE kwa nguvu ya DOLA utekelezaji uliosimamiwa na DC wakati huo Kanali Fabian Massawe. Matokeo ya kazi haramu ya Kanali Massawe akazawadia U-RC wa Kagera. Nasikia Blandes hajawahi kutia mguu jimboni mwake tangu achaguliwe.
wewe akili yako inahitaji maombezi nje ya hapo ni laana inakusumbua
Naungana na RPC kuwapongeza walowaua hao maaskari. Kwanza binafsi siwapendi maaskari kwa sababu wanawaua watu kwa kutumia vitu vyenye ncha kali.
RPC wa mkoa wa Kagera Philip Kalangi amewapongeza wananchi walioua maaskari waliokuwa wameiba na kubeba meno ya tembo kwenye gari aina ya Noha.
kawapongeza kwa kazi nzuri ya ulinzi au kwa kuua ? (sababu unajua kuua huenda kulitokana na kukosa alternative au uwezekano wa kuwashika hai) lakini huwezi kumpongeza mtu kwa kuua
Ulikuwa unajaribu kuongea kitu gani? Nina uhakika kuwa ukitakiwa/kuombwa editing ya post yako, kuna maneno hapo in red hayatasalimika.
Naungana na RPC kuwapongeza walowaua hao maaskari. Kwanza binafsi siwapendi maaskari kwa sababu wanawaua watu kwa kutumia vitu vyenye ncha kali.
ushahidi mwingine wa wazi kuwa liinchi linajiendea tu bila sheria na uongozi!RPC wa mkoa wa Kagera Philip Kalangi amewapongeza wananchi walioua maaskari waliokuwa wameiba na kubeba meno ya tembo kwenye gari aina ya Noha. Amesema anawapongeza kwa kuwa ulinzi shupavu na alipotaka kulaani kitendo cha wananchi kujichukulia sheria mikononi watu wakamzomea.
Ni nani huyo?Bado jangili mmoja wa kimataifa, huyu naye akiuawa ndo nitafanya sherehe