RPC Arusha, kwanini Lema hachukuliwi hatua?

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Natoa ushauri kwa IGP kuangalia hatari kubwa inayoweza kutokea jijini arusha. viongozi kumtukana RPC kisha wasiitwe kuhojiwa ni dharau kwa jeshi la polisi. mm kama RAIA sikubaliani na utendaji wa RPC arusha kwa kuendelea kuwapa jeuri ya kuropoka badala kukabiliwa na mkono wa sheria.
RPC kwa nn lema hajaitwa polisi kwa hatua?

cc RPC arusha
cc IGP Ernest Mangu
 
MKUTANO ARUSHA MH.LEMA.

Lema:
Ndugu zangu mawazo ameuawa, na anayefuata ni wewe ni mimi.
Mawazo ameuawa na green guard kwa sababu polisi wanawaogopa green guard.
Wiki moja iliyopita, rpc wa Arusha aliagiza kwenye kikao mimi kuvunjwa miguu

Lema,
Anameita mke wake, anamwambia akisikia amekufa, atafute ada kwa wananchi.
Leo Mawazo amemwacha mke na mtoto mdogo, ameuawa kwa mapanga wakati siyo mwizi. Wamemwua Mawazo na watawaua na wengine kwasababu dola inawaogopa green guard

Mawazo alikuwa anatoka kwenye kampeni, gree guard wakamvamia wakampiga mapanga akapelekwa hospitali amefariki dunia.
Mimi rpc alitaka kuniua Arusha

Green guard wanawapiga watu wetu polisi hawachukui hatua

Anazungumza Mh Lema, mbunge wa Arusha mjini

Lema:
Mwaka jana kwenye uchaguzi mdogo tulipeleka mashtaka ya kutosha lkn cha kushangaza hakuna hata kesi moja iliyoenda polisi.
Sikilizeni Arusha, huu ni wakati wa kutetea maisha yetu..

Lema,
Wanaopanga uovu ni serikali mkuu wa mkoa mkuu wa polisi

Lema:
Rpc ukinikamata niue kabisa, ukiniacha hai nitabadilisha nchi hii

Lema,
Nyie polisi wake zenu mama zenu watoto wenu hawaishi vituoni, mnatutisha na magari barabarani na silaha barabarani, umma huu ukichoka hamtaweza kuishi mitaani

huu ni ushahidi tosha RPC chukua hatua.
 
Ndio maana nikaandika udhaifu wa polisi anaousema Lema uko sawa tu maana wangekuwa watendaji wazuri na historia yake ya nyuma angeozea jela huyo
 
unafikiri haya mauaji yametufurahisha kuanzia Leo ccm yoyote ni adui yangu mkubwa na akizingua ama zangu ama zake
 
MKUTANO ARUSHA MH.LEMA.

Lema:
Ndugu zangu mawazo ameuawa, na anayefuata ni wewe ni mimi.
Mawazo ameuawa na green guard kwa sababu polisi wanawaogopa green guard.
Wiki moja iliyopita, rpc wa Arusha aliagiza kwenye kikao mimi kuvunjwa miguu

Lema,
Anameita mke wake, anamwambia akisikia amekufa, atafute ada kwa wananchi.
Leo Mawazo amemwacha mke na mtoto mdogo, ameuawa kwa mapanga wakati siyo mwizi. Wamemwua Mawazo na watawaua na wengine kwasababu dola inawaogopa green guard

Mawazo alikuwa anatoka kwenye kampeni, gree guard wakamvamia wakampiga mapanga akapelekwa hospitali amefariki dunia.
Mimi rpc alitaka kuniua Arusha

Green guard wanawapiga watu wetu polisi hawachukui hatua

Anazungumza Mh Lema, mbunge wa Arusha mjini

Lema:
Mwaka jana kwenye uchaguzi mdogo tulipeleka mashtaka ya kutosha lkn cha kushangaza hakuna hata kesi moja iliyoenda polisi.
Sikilizeni Arusha, huu ni wakati wa kutetea maisha yetu..

Lema,
Wanaopanga uovu ni serikali mkuu wa mkoa mkuu wa polisi

Lema:
Rpc ukinikamata niue kabisa, ukiniacha hai nitabadilisha nchi hii

Lema,
Nyie polisi wake zenu mama zenu watoto wenu hawaishi vituoni, mnatutisha na magari barabarani na silaha barabarani, umma huu ukichoka hamtaweza kuishi mitaani

huu ni ushahidi tosha RPC chukua hatua.
sasa tatizo hapo ni nini anachosema lema hapo ni ukweli mtupu na watu wa kwanza wanaotakiwa kupelekwa the hague ni wao wanaoshindwa kufanya kazi zao kwa weledi mpaka hayo aliyo yasema lema yanatokea.
 
Natoa ushauri kwa IGP kuangalia hatari kubwa inayoweza kutokea jijini arusha. viongozi kumtukana RPC kisha wasiitwe kuhojiwa ni dharau kwa jeshi la polisi. mm kama RAIA sikubaliani na utendaji wa RPC arusha kwa kuendelea kuwapa jeuri ya kuropoka badala kukabiliwa na mkono wa sheria.
RPC kwa nn lema hajaitwa polisi kwa hatua?

cc RPC arusha
cc IGP Ernest Mangu
Uliza kwa nini wauaji raia bila sababu hawachukuliwi hatua?
 
Anachosema lema kipo kichwani mwa kila mtanzania ila hawatamki.Ni ukwel mtupu.Nimesikia maneno y askar fulani juzi daaa!
 
Lema endelea kusimamia penye ukweli maana hapo ndipo ukwli hujitenga, na hao green gadi watambue kuwa kuna redbridgardia wanawachora tu kikiamliwa wasilalamike
 
Nashangaa Ndugai aliyepiga mtu nusura ya kuuwa bado anadunda mtaani. Lakini nafurahi kuwa chuki dhidi ya ccm inazidi kuongezeka katika jamii.
 
Natoa ushauri kwa IGP kuangalia hatari kubwa inayoweza kutokea jijini arusha. viongozi kumtukana RPC kisha wasiitwe kuhojiwa ni dharau kwa jeshi la polisi. mm kama RAIA sikubaliani na utendaji wa RPC arusha kwa kuendelea kuwapa jeuri ya kuropoka badala kukabiliwa na mkono wa sheria.
RPC kwa nn lema hajaitwa polisi kwa hatua?

cc RPC arusha
cc IGP Ernest Mangu

Wewe utateuliwa kuwa RPC Arusha
 
MKUTANO ARUSHA MH.LEMA.

Lema:
Ndugu zangu mawazo ameuawa, na anayefuata ni wewe ni mimi.
Mawazo ameuawa na green guard kwa sababu polisi wanawaogopa green guard.
Wiki moja iliyopita, rpc wa Arusha aliagiza kwenye kikao mimi kuvunjwa miguu

Lema,
Anameita mke wake, anamwambia akisikia amekufa, atafute ada kwa wananchi.
Leo Mawazo amemwacha mke na mtoto mdogo, ameuawa kwa mapanga wakati siyo mwizi. Wamemwua Mawazo na watawaua na wengine kwasababu dola inawaogopa green guard

Mawazo alikuwa anatoka kwenye kampeni, gree guard wakamvamia wakampiga mapanga akapelekwa hospitali amefariki dunia.
Mimi rpc alitaka kuniua Arusha

Green guard wanawapiga watu wetu polisi hawachukui hatua

Anazungumza Mh Lema, mbunge wa Arusha mjini

Lema:
Mwaka jana kwenye uchaguzi mdogo tulipeleka mashtaka ya kutosha lkn cha kushangaza hakuna hata kesi moja iliyoenda polisi.
Sikilizeni Arusha, huu ni wakati wa kutetea maisha yetu..

Lema,
Wanaopanga uovu ni serikali mkuu wa mkoa mkuu wa polisi

Lema:
Rpc ukinikamata niue kabisa, ukiniacha hai nitabadilisha nchi hii

Lema,
Nyie polisi wake zenu mama zenu watoto wenu hawaishi vituoni, mnatutisha na magari barabarani na silaha barabarani, umma huu ukichoka hamtaweza kuishi mitaani

huu ni ushahidi tosha RPC chukua hatua.

Mngese wewe. Kuna la Kongo hapo? RPC mwenyewe anaujua ukweli ndiyo maana hafurukuti. Hata sisi wananchi tunajua ukweli. Tumelala iko siku tutaamshwa na damu za ndugu zetu Hawa. Nyamaza hayajakukuta. Siku yakikukuta utabanwa kwikwi.
 
MKUTANO ARUSHA MH.LEMA.

Lema:
Ndugu zangu mawazo ameuawa, na anayefuata ni wewe ni mimi.
Mawazo ameuawa na green guard kwa sababu polisi wanawaogopa green guard.
Wiki moja iliyopita, rpc wa Arusha aliagiza kwenye kikao mimi kuvunjwa miguu

Lema,
Anameita mke wake, anamwambia akisikia amekufa, atafute ada kwa wananchi.
Leo Mawazo amemwacha mke na mtoto mdogo, ameuawa kwa mapanga wakati siyo mwizi. Wamemwua Mawazo na watawaua na wengine kwasababu dola inawaogopa green guard

Mawazo alikuwa anatoka kwenye kampeni, gree guard wakamvamia wakampiga mapanga akapelekwa hospitali amefariki dunia.
Mimi rpc alitaka kuniua Arusha

Green guard wanawapiga watu wetu polisi hawachukui hatua

Anazungumza Mh Lema, mbunge wa Arusha mjini

Lema:
Mwaka jana kwenye uchaguzi mdogo tulipeleka mashtaka ya kutosha lkn cha kushangaza hakuna hata kesi moja iliyoenda polisi.
Sikilizeni Arusha, huu ni wakati wa kutetea maisha yetu..

Lema,
Wanaopanga uovu ni serikali mkuu wa mkoa mkuu wa polisi

Lema:
Rpc ukinikamata niue kabisa, ukiniacha hai nitabadilisha nchi hii

Lema,
Nyie polisi wake zenu mama zenu watoto wenu hawaishi vituoni, mnatutisha na magari barabarani na silaha barabarani, umma huu ukichoka hamtaweza kuishi mitaani

huu ni ushahidi tosha RPC chukua hatua.

tusi liko wapi hapo.
 
Waliomtesa Ulimboka ni akina nani na walichuliwa hatua gani?

Polisi aliyemuua Mwangosi hukumu yake ilikuwaje?

Polisi wanaotumia risasi za moto na kuua raia kwa sababu nyepesi, hatua gani zinachukuliwa kukomesha hali hiyo?

Ameuwawa Mawazo, kauli gani imetolewa na vyombo vya dola kuzungumzia jambo hilo?

Kama hayo yote hapo juu hayana majibu ya kuridhisha, anayestahili kufunguliwa mashitaka ni viongozi wanaosimamia dola.

"Kumpiga mwanao anayekuambia umalaya unaofanywa na mmeo/mkeo kwa kisingizio cha mtoto kukosa adabu hakuondoi aibu umalaya kwenye ndoa"
 
Back
Top Bottom