Wastage of money and time, yaani hii Royal family inamaliza tu pesa za walipa kodi mie hata umuhimu wao siuoni.Wapo wapo tu kula raha wakati wanakamua watu kodi.hivi hakuna movement iliyoenda against hii royal family Uk
am so happy for them
mungu awatangulie wafunge ndoa yao salama pasiwepo na mambo ya ugaidi maana hizi mambo utakuta na mtandao wa Osama umetegesha Antena hapo hapo