Royal Tour: Wacheni Tuseme Ukweli

Wavimba macho kujitia ujuaji hata kwenye fani wasio na utaalamu nayo.
Mleta mada aweke qualifications zake kwenye film industry. Na madai mengi kuhusu wakuu wa Nchi kama ndio kwanza imefanyika Tanzania.
Mleta mada aweke qualifications zake kwenye film industry.
 
Reactions: Tui
Definitely
 
Mleta mada aweke qualifications zake kwenye film industry.
Achana na film industry hapa tunaongelea sekta ya utalii na gharama za kutengeneza hiyo film pamoja na umiliki wake?

Masuala ya vyeti Tanzania vimejaa ila havina thamani wala Soko.

Kama unabisha beba vyeti vyako uingie Kenya kutafuta kazi!
 
Huyo ndio muongoza filamu mkuu.
Mkuu upo sensitive na active ambazo zinasupport your arguments ingawa ulidai ni open discussion ila it seems you made your mind kwa ulichokiandika.
 
Wabongo hata leo NEWTON AKIFUFUKA watabishana naye kwenye zile laws of motion au Archmedes na the law of floatation yake...

Sisi ndio sisi hata ile S400 ya Russia tunaweza kusema Mrusi fala tu ile teknolojia amejifunzia pale matimila Songea...
 
Definitely
Kagame anacheza another level hata matangazo yake anaweka kwenye sehemu za kijanja.

Acha kuongea kule tulikoshindwa kujaribu, ndio maana hakumpenda kikwete shauri ya upigaji wake.

Mwambie mwenzio aelewe hilo.
 
Alizidiwa hadi na zuchu??3m per day[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Director Royal Tour Tanzania ni John Feist.Ni filamu ya saa 1 inayoonyesha Tanzania kwa namna ya kipekee sana.
Kuanzia Zanzibar,Dar essalaam ,Kilimanjaro na mbuga za Serengeti.
Nimeingalia na nina hakika italeta mapinduzi makubwa kwenye sekta ya utalii.
Wenye wasiwasi wao reserve your comments mpaka mtakapo jaliwa kuiona.
Ingia Amazon uburudike na kujivunia Nchi yetu.
 
Lengo ilikua wapige hela wao. Wameshapiga pesa hayo mengine ya Amazon ni mbwembwe za kupumbaza wajinga.
 
Achana na huyu mleta uzi ni mbishi tu by nature maswali yake yote katika uzi wake yalishajibiwa ila anataka ligi tu.
 
Je umiliki wake pamoja na gharama husika vimewekwa wazi?
 
Kagame anacheza another level hata matangazo yake anaweka kwenye sehemu za kijanja.

Acha kuongea kule tulikoshindwa kujaribu, ndio maana hakumpenda kikwete shauri ya upigaji wake.

Mwambie mwenzio aelewe hilo.
Post yako hii tayari ishaonesha kuwa wewe ni raia wa nchi gani, na kwanini umeumizwa na ujio wa filamu hii. Poleni sana wewe na Kagame wako.
 
Viliwekwa wazi lini na wapi mkuu?
Ebu niwekee source ili niendeko na mimi please!
Rejea post #33 na majibu yaliwekwa kutokana na maswali uliyouliza kutokana na post yako #1
 

Mkuu hapo tumeliwa kekundu. Hili wazo Mama alipewa na PK alipoenda kupiga nae picha kwenye kiwanda cha VW pale Kigali.
Yeye akakariri badala ya kuelewa kilichopo sasa tunapuyanga na kumpuyangisha HoS wetu huko.

PGg ni mpigaji na mfanyabiashara na si mtangaza utalii. Halafu wasaidizi sijui hawasaidii, ni kama RT inamtangaza SSH badala ya utalii wa TZ na vivutio vyake. Ni kama vile anatafuta appeal sijui akigombea kura atapigiwa na NY, LA ect ect USA badala ya TZ.

Ukiwaambia ukweli wanakasirika wanaona unapinga, this project is a big time failure. It adds little to No vale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…