Ulikua ni ujinga tuKama upepo ulivyo, habari za Royal Tour zishaanza kupita.
Watanzania tushahamia kwenye habari za Lengai Sabaya.
Toka mwanzo, mimi nilikuwa na shaka sana juu ya hiyo filamu.
Kama lengo lake lilikuwa ni kuitangaza Tanzania, mbona wahusika wake hawajafanya yale yanayopaswa kufanywa ili kuitangaza filamu hiyo pamoja na Tanzania?
1. Kwa nini Hangaya na waigizaji wenzake hawajaenda na kwenye nchi zingine? Kwa nini wameenda Marekani tu?
2. Na huko Marekani walikoenda, ni nani hasa mwenye habari na hiyo filamu?
3. Matangazo ya hiyo filamu yako wapi? Sasa hivi kuna playoffs za ligi mbili kubwa, NBA na NHL, mbona matangazo ya hiyo filamu hayapo kwenye chaneli za TNT, TBS, ABC, wala ESPN?
Michezo hii ya playoffs huangaliwa na watu wengi sana. Hapo ndo ilikuwa pazuri pa kuitangaza Tanzania na vivutio vyake.
Lakini hamna kitu. Sasa Mmarekani atajuaje kuhusu hiyo filamu?
4. Hiyo filamu ina kipi kipya ambacho hakijulikani kuhusu Tanzania hadi kumshawishi Mmarekani aje?
Documentaries zote kuhusu vivutio vya Tanzania ambazo zimewahi kuonyeshwa na PBS, National Geographic, A&E, YouTube, n.k., zina tofauti gani na Royal Tour?
5. Hii Royal Tour sidhani kama italeta chochote kipya na zaidi. Watu wamepata tu fursa ya kupiga hela.
Na kama ilivyo jadi yetu Watanzania, tushaanza kuisahau na ndani ya muda mfupi tutaisahau kabisa na hakuna hata mmoja wetu atayekuja kuuliza mafanikio yake huko mbeleni.
6. Ni nani atayekuja kumhoji Samia juu ya mafanikio ya hiyo filamu ifikapo 2024, kwa mfano?
Sisi ni watu wa ajabu kweli.
Kweli hawa viongozi wqnatuchukulia sisi poa sana, yaani niache kuangalia mambo yangu ya maana nishupalie huu upuuzi??Walisema local stations zote zitapewa bure haki ya kuonesha hiyo filamu.
Nilishasema kunajambo la siri sana lina endelea ktk serikali.. kuna watakao lia nakuna watakao cheka. Just keep coolKama upepo ulivyo, habari za Royal Tour zishaanza kupita.
Watanzania tushahamia kwenye habari za Lengai Sabaya.
Toka mwanzo, mimi nilikuwa na shaka sana juu ya hiyo filamu.
Kama lengo lake lilikuwa ni kuitangaza Tanzania, mbona wahusika wake hawajafanya yale yanayopaswa kufanywa ili kuitangaza filamu hiyo pamoja na Tanzania?
1. Kwa nini Hangaya na waigizaji wenzake hawajaenda na kwenye nchi zingine? Kwa nini wameenda Marekani tu?
2. Na huko Marekani walikoenda, ni nani hasa mwenye habari na hiyo filamu?
3. Matangazo ya hiyo filamu yako wapi? Sasa hivi kuna playoffs za ligi mbili kubwa, NBA na NHL, mbona matangazo ya hiyo filamu hayapo kwenye chaneli za TNT, TBS, ABC, wala ESPN?
Michezo hii ya playoffs huangaliwa na watu wengi sana. Hapo ndo ilikuwa pazuri pa kuitangaza Tanzania na vivutio vyake.
Lakini hamna kitu. Sasa Mmarekani atajuaje kuhusu hiyo filamu?
4. Hiyo filamu ina kipi kipya ambacho hakijulikani kuhusu Tanzania hadi kumshawishi Mmarekani aje?
Documentaries zote kuhusu vivutio vya Tanzania ambazo zimewahi kuonyeshwa na PBS, National Geographic, A&E, YouTube, n.k., zina tofauti gani na Royal Tour?
5. Hii Royal Tour sidhani kama italeta chochote kipya na zaidi. Watu wamepata tu fursa ya kupiga hela.
Na kama ilivyo jadi yetu Watanzania, tushaanza kuisahau na ndani ya muda mfupi tutaisahau kabisa na hakuna hata mmoja wetu atayekuja kuuliza mafanikio yake huko mbeleni.
6. Ni nani atayekuja kumhoji Samia juu ya mafanikio ya hiyo filamu ifikapo 2024, kwa mfano?
Sisi ni watu wa ajabu kweli.
Mipango nayo ni hewa ingine, hata Majaliwa.Hivi Dr mpango naye alikubaliana na huo upuuzi??
Na africa ipo dunianiKwani walikosea nini, si kweli Tanzania ipo Afrika.
Mbio za sakafuni....Mh.Samia ndiyo kilichoongezeka tofauti na documentaries zingine kuhusu vivutio vyetu visivyo na tija.Nchi hii kila kitu ni kivutio kuanzia watu,maisha,siasa,wanyama,misitu nk.Kama upepo ulivyo, habari za Royal Tour zishaanza kupita.
Watanzania tushahamia kwenye habari za Lengai Sabaya.
Toka mwanzo, mimi nilikuwa na shaka sana juu ya hiyo filamu.
Kama lengo lake lilikuwa ni kuitangaza Tanzania, mbona wahusika wake hawajafanya yale yanayopaswa kufanywa ili kuitangaza filamu hiyo pamoja na Tanzania?
1. Kwa nini Hangaya na waigizaji wenzake hawajaenda na kwenye nchi zingine? Kwa nini wameenda Marekani tu?
2. Na huko Marekani walikoenda, ni nani hasa mwenye habari na hiyo filamu?
3. Matangazo ya hiyo filamu yako wapi? Sasa hivi kuna playoffs za ligi mbili kubwa, NBA na NHL, mbona matangazo ya hiyo filamu hayapo kwenye chaneli za TNT, TBS, ABC, wala ESPN?
Michezo hii ya playoffs huangaliwa na watu wengi sana. Hapo ndo ilikuwa pazuri pa kuitangaza Tanzania na vivutio vyake.
Lakini hamna kitu. Sasa Mmarekani atajuaje kuhusu hiyo filamu?
4. Hiyo filamu ina kipi kipya ambacho hakijulikani kuhusu Tanzania hadi kumshawishi Mmarekani aje?
Documentaries zote kuhusu vivutio vya Tanzania ambazo zimewahi kuonyeshwa na PBS, National Geographic, A&E, YouTube, n.k., zina tofauti gani na Royal Tour?
5. Hii Royal Tour sidhani kama italeta chochote kipya na zaidi. Watu wamepata tu fursa ya kupiga hela.
Na kama ilivyo jadi yetu Watanzania, tushaanza kuisahau na ndani ya muda mfupi tutaisahau kabisa na hakuna hata mmoja wetu atayekuja kuuliza mafanikio yake huko mbeleni.
6. Ni nani atayekuja kumhoji Samia juu ya mafanikio ya hiyo filamu ifikapo 2024, kwa mfano?
Sisi ni watu wa ajabu kweli.
Na dunia ipo kwenye solar system.Na africa ipo duniani
Sema wewe kiazi, mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi! Nikisema mimi nitaambiwa nina chuki na CCM! Kama ni mbuga za wanyama au Zanzibar kuna documentaries nyingi kabisa zipo. Mpaka neno ''safari'' wakati kwetu linaaminisha kusafiri, watalii walishalipa maana ya kuja kutalii mbuga za wanyama. Hakuna kipya ila rais alipelekeshwa na wapambe tu. Bora hata wangetangaza zile sehemu ambazo dunia haizijui kabisa kuhusu Tanzania. Anyways, nakumbuka Kikwete mara baada ya kuchaguliwa alikimbia kutaka kuialika Real Madrid eti ije Tanzania. Tulipiga kelele sana hapa jamvini. Rais Samia kusema kweli ni mweupe pe kwenye mipango na hana clue yoyote ni nini tatizo letu kama nchi achilia mbali namna ya kutatua matatizo yetu.Marekani ni kubwa sana. Na ukweli ni kwamba, kiujumla, hakuna Wamarekani waliokuwa na muda na hiyo Royal Tour…
Rais wa Tanzania huwa hahojiwi.6. Ni nani atayekuja kumhoji Samia juu ya mafanikio ya hiyo filamu ifikapo 2024, kwa mfano?
Sisi ni watu wa ajabu kweli.
Mkuu na wewe umesahau kuwa Rais wa Tanzania huwa hahojiwi?Naunga mkono hoja.
P
Wote pale wamestuck. Mwanzoni nilimpa Samia benefit of doubt kwamba kwa vile alifanya kazi na Magufuli atakuwa alijifunza mbili tatu fulani hivi za msingi kutoka kwake (na pengine kujifunza kwa yale yanayoitwa "mabaya" ya Magufuli) ili awe the best president wa Tanzania kuwahi kutokea.Sema wewe kiazi, mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi! Nikisema mimi nitaambiwa nina chuki na CCM! Kama ni mbuga za wanyama au Zanzibar kuna documentaries nyingi kabisa zipo. Mpaka neno ''safari'' wakati kwetu linaaminisha kusafiri, watalii walishalipa maana ya kuja kutalii mbuga za wanyama. Hakuna kipya ila rais alipelekeshwa na wapambe tu. Bora hata wangetangaza zile sehemu ambazo dunia haizijui kabisa kuhusu Tanzania. Anyways, nakumbuka Kikwete mara baada ya kuchaguliwa alikimbia kutaka kuialika Real Madrid eti ije Tanzania. Tulipiga kelele sana hapa jamvini. Rais Samia kusema kweli ni mweupe pe kwenye mipango na hana clue yoyote ni nini tatizo letu kama nchi achilia mbali namna ya kutatua matatizo yetu.
mbona huulizi ndege za magufuli zilizonunuliwa bila kufuata sheria ya manunuzi ya umma ya tanzania? unajua 10% ya ndege moja ni shilingi ngapi wewe?Kama upepo ulivyo, habari za Royal Tour zishaanza kupita.