Royal Bloodline. Damu Takatifu

Labda nikupongeze wa uthubutu wako wa kujaribu kuandika Aya japo 50 , jambo ambalo watanzania wengi wameshindwa. pongezi kwako.

Lakini nikulaumu kwa kushindwa kutumia akili yako ya kuzaliwa acha ile ya darasani ambayo hujawahi itumia kabisaa.

Bandiko lipo kienyeji sana, No evidence ni stori tu kama insha za darasa la pili.

Reptilian Race yenyewe umepita nayo locally sana, ni ngumu kwa mtu unayetamani aelewe huu uongo aweze kukuelewa.
 
Hawatakuelewa kamwe Hawa
Ila hawajui tu na nawachora tu Kwa comments zao Bado ni Vipofu,

Mkuu Badison kiufupi unawaambia watu kitu kigumu Sana Sana
Na hii elimu wengi hawaijui wataishia kukubeza
Laiti wengewajua ANNUNAKI
Ni viumbe Gani labda wangeelewa Nini unamaanisha wengi wanaishi nje ya ukweli wa mambo,
Kila nikigusia kwenye baadhi ya maada kuwahusu Kuna watu wananibishia ila hawajui hao viumbe project ya kuwafanyia cloning watu
Na kuwageuza wanadamu
Na kuanza kuwacontrol Kwa kupandikiza DNA zao
Watu ukiwaambia Adam & eve ilikua cloning project hata hawaelewi,
Ukiwaambia jamii ya watu weusi wao ni watu sio Binadamu
Watakuona mwehu,
Yote sababu wamelishwa propaganda na kufungwa akili Kwa kupewa Dini zisizowahusu na kuwatukuza Binadamu na kusahau wao ni watu hata hawaelewi
Matatizo ya bara letu yalianza pale Hawa viumbe vilipoingilia mzunguko wa maisha yetu hii ilitufanye tuache kuishi Kwa nature na kuanza fuata life fake na Afrika hatutakuja kukombolewa kamwe

Asili,nature = Watu ambao ni =
pure Blacks!
Katika masomo magum karne ya 21 ni somo la propaganda.
kutofautisha fantasy na reality imekuwa ngum sana sababu ya propaganda.
 
Labda nikupongeze wa uthubutu wako wa kujaribu kuandika Aya japo 50 , jambo ambalo watanzania wengi wameshindwa. pongezi kwako.

Lakini nikulaumu kwa kushindwa kutumia akili yako ya kuzaliwa acha ile ya darasani ambayo hujawahi itumia kabisaa.

Bandiko lipo kienyeji sana, No evidence ni stori tu kama insha za darasa la pili.

Reptilian Race yenyewe umepita nayo locally sana, ni ngumu kwa mtu unayetamani aelewe huu uongo aweze kukuelewa.

Asante mkuu. But knowledge inarithishwa kwa njia ya masimulizi na sio vitabu. Chunguza sana utagundua faishi simulizi ndi chombo maalum cha kufikisha ujumbe kwa hadhira. Fasihi andishi sio cha kiamini sana kwani huwezi pata mafasi ya kuuliza maswali kwa Fanani. Mm nimepata maarifa haya kutoka kwa Fanani direct.
 
hesabu zangu zinaniambia toka adam mpaka sasa ni miaka 6000 ya haraka.

hivi vizazi 13 inabidi uelezee taratibu ili ueleweke,au ni elf hawafi hao jamaa!!!!
 
hesabu zangu zinaniambia toka adam mpaka sasa ni miaka 6000 ya haraka.

hivi vizazi 13 inabidi uelezee taratibu ili ueleweke,au ni elf hawafi hao jamaa!!!!

Vizazi 13 ni mfano tuu unaotumika ili kufikisha ujumbe. Royal bloodline zipo hata hapa tanzania ila tatizo royalty zimechangqmana na jamii ya adamu wakazaliwa hybrids au chotara. Kila kinachozaliwa na jinsia ya kike lazima kife.

Wakina adamu hawakuishi miaka mia tisa au zaidi ya mia na ishirini waliishi miaka ya kawaida sema tu kalenda zao zilikuwa fupi. Mfano gregorian calender in siku 365 imegawanywa mafungu 4. Enzi za adamu na jamii yao kalenda yao ilikuwa fupi. Ndo mana wanaonekana wameishi maisha marefu ili kudanganya watu.
 
Number 13 ni namba tata inahusiana na mitihani katika masiha, mateso na kifo kifupi ni namba ngumu. Ikiwakilisha kifo cha damu na nyama na kuzaliwa upya kiroho. Jamii nyingi wanaogopa hii namba na kuona kama ni nuksi. Inahusiana na sadakankafara na mambo kama hayo. Mfano ijumaa ikiangukia tarehe 13 ni nuksi kwa baadhi ya tamaduni.
Kama namba 13 ni namba tata sasa mimi nimezaliwa siku ya jumatatu tarehe 13 mwezi wa 11 mzee nyota NG'E hapo unanielezeaje mtu kama mimi maana huwa ninajitafuta sana sipati majibu ya uhakika
 
Hakuna kitu kinaitwa yehova au jehova ni kunda la miungu 24 ambao 12 ni wa haki na 12 ni wa batili. Wote wanaongoza na ndio wakuu wa hii matrix
Kwa iyo kuna dozen 2 sio moja positive na ingine ndio negative si ndio,,au ndio maana baadhi ya watu wana concept kuwa MUNGU ni universe(laws of attraction,meditation,what goes around comes back around).Huku Roman Catholic kwenye mafundisho ya ukatekumeni tunafundishwa kuwa ,,MUNGU YUKO WAPI? JIBU NI MUNGU YUKO MAHALI POTE. Njoo Kwenye physics and the physical sciences and hayo astronomy and astrologies ndio utauona utukufu wa Mungu.Kila kitu kimekaa kimpangilio tu,yaani ni full systems kuanzia miili yetu mammal,plants non living things vyote viko systemised sema siwezi elezea ila najua naeleweka kidogo but dah inafikirisha Sana mimi bado naamini MUNGU ni mmoja tu ndio kaweka hizi system zote hata iyo unayosema a group of 24,yaan 12 positive na 12 negative.
 
Hao miungu 24 wamegawanyika makundi mawili kundi la kwanza 12 ni kijani kibichi rangi yao damu yao ambao asili yao ni wapole na watiifu na watukufu sana wanaitwa sarufaati.

Kundi la pili 12 la miungu hao wameumbwa na amber light ambao sio viumbe wazuri ni wakaidi na wapenda shari na waasi.

Hawa wote wanatokana na The All. Na kazi zao ni ku balance dunia na ulimwengu kati ya mema na mabaya.

Na kumbukubo zote nzuri zinawekwa katika kitabu kitukufu kinaitwa Akasha au sijjiyn kwa walio wema. Kwa wabaya kumbukumbu zao ninawekwa kwenye kitabu kibaya cha illyuwn. Nafkiri umepata picha.
Kwa mantinki hiyo MUNGU yupo sema tu namna wanadamu wanavyom perceive ndio utata si ndivyo unachomaanisha Kuwa njia za kumjua huyo THE ALL ndio tumepigwa changa kama nimekuelewa vyema
 
Hawatakuelewa kamwe Hawa
Ila hawajui tu na nawachora tu Kwa comments zao Bado ni Vipofu,

Mkuu Badison kiufupi unawaambia watu kitu kigumu Sana Sana
Na hii elimu wengi hawaijui wataishia kukubeza
Laiti wengewajua ANNUNAKI
Ni viumbe Gani labda wangeelewa Nini unamaanisha wengi wanaishi nje ya ukweli wa mambo,
Kila nikigusia kwenye baadhi ya maada kuwahusu Kuna watu wananibishia ila hawajui hao viumbe project ya kuwafanyia cloning watu
Na kuwageuza wanadamu
Na kuanza kuwacontrol Kwa kupandikiza DNA zao
Watu ukiwaambia Adam & eve ilikua cloning project hata hawaelewi,
Ukiwaambia jamii ya watu weusi wao ni watu sio Binadamu
Watakuona mwehu,
Yote sababu wamelishwa propaganda na kufungwa akili Kwa kupewa Dini zisizowahusu na kuwatukuza Binadamu na kusahau wao ni watu hata hawaelewi
Matatizo ya bara letu yalianza pale Hawa viumbe vilipoingilia mzunguko wa maisha yetu hii ilitufanye tuache kuishi Kwa nature na kuanza fuata life fake na Afrika hatutakuja kukombolewa kamwe

Asili,nature = Watu ambao ni =
pure Blacks!
Yaani mnazidi kunichanganyi tu kama Bambo,,kwa iyo huwa kuna watu na binaadamu duh
 
Kama namba 13 ni namba tata sasa mimi nimezaliwa siku ya jumatatu tarehe 13 mwezi wa 11 mzee nyota NG'E hapo unanielezeaje mtu kama mimi maana huwa ninajitafuta sana sipati majibu ya uhakika

Nge ni nyota ambayo asili yake ni maji inatawaliwa na sayari mihiri au mars pamoja na pluto.namba yake ni 8 na pia inawakiliaha kifo. Namba 13 kwa nge ni namba nzuri. Tarrot card namba 8 represent death and it is is a scorpion Card.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom