Mamboo yoote haya mtachanganyikiwa tu! Bila Mungu wa kweli kukuongoza mtaumia sana! mtashika huku na huko tu! hata mimi nilikuwa km wewe wkt wa giza! lkn nili jitahidi nikapata njia ya kweli! Royal bld line hawawezi kuwa wachache hivo!
Na jua kwamba Nephillim walikuwepo kabla ya gharika na baada ya gharika! kazi kubwa ya ivo vitabu hapa ni kumtia Mwanadamu comfusions, asijue wapi pa kuegemea! kumbukeni tu kuwa waafrica Mta/mna abudu msichokijua. na mmeshikwa pabaya na nephilims.
kamwe hamchomoki ! bila neema! kataa ukome kubali uwe huru! Duniani humu mpaka sasaivi kuna watu tunaishi nao ktk kifamilia zetu, hata na kuzaliwa nao tunakua wote lkn siyo wanadamu! but tumefungwa!
ok! Merovengian families, Maquiz de Libex Families nk! ni miongoni mwao hao 13, hizi ziliibuka ghafla, Kutokea sehemu za Ulaya, maarufu Cauccas Mt. karibu na uguriki ya leo! tena zikiwa maskini za kutupwa, choka mbaya,
so zaidi wakaelekea Kusini ya ulaya, ambako huko ndiyo kuliko kuwa na mendeleo makubwa sana Duniani enzi hizo, familia hizi hazina miaka zaidi ya 6000 tu ilopita! hawana U- Royal wowote! kwanza wamebakia wachache mnoo! na hawazaliani saana!
Richa yakuwa na maisha mazuri, mali na mipesa miiingi! ni aslimia 2% tu! ya world populations! hawana capacity ya kuzaliana km Weusi wanavo zaliana! sababu miili yao haizalishi Melanin za kutoshelezea via vya uzazi wao! ila hili wana lifanya siri kubwa!
Mweusi hata dada ako akikukalia vizuri unampelekea moto! hii ni kwa sababu tuna Melanin nyingi! lk hao R. bld line! hawana! ndo maana maksudi tu! Hurry karuhusiwa kwenda kuchukua kwa yule Mdada mwenye asili ya weusi wa Africa!
Leo hii Ulaya yoote kwa ujumla wake wanatamani vijana weusi kutoka africa, na Latin america, waende kuishi milele, kuoa na kuzaa huko Ulaya sababu ni wanahitaji Melanin Blend distribution, kwa population zao! kwa kivuli cha usamaria wema!
Lkn watu km Jiwe walikuwa mojawapo ya wapigaji marufuku waafrica kwenda huko! leo jiwe yuko wapi?
Njia mojawapo wanayotumia ni kuchochea vita vya wenyewe kwa wenyewe barani Africa na Latin America, ili wao (Ulaya) wavune watu wengi wenye asili ya Melanin kutoka africa ya weusi, ili zaidi, wakafanyane na vizazi vyao!
hence, wazae watu machotara! but in concealed manner! wachache tunajua hili! maana wazungu wenzetu wale vizazi vyao vinaishia ivo! licha ya kula sana, bata zao izo!
sasa wanatuvuna vijana weusi chini ya mwamvuli wa usamaria wema wa kupokea wakimbizi wakti wao wenyewe ndo wanazalisha hao wakimbizi, mwishowe kule ulaya, ndo kutakuwa Africa unadhani Africa ingekuwa na amani tu, nani angekimbilia Ulaya?
Royal blood grail za Ulaya ni matisho tu! dhidi ya tabaka tawaliwa na umma wa Mwafrica, ukienda mbele zaidi watakwambia wao Wako, super DNA connected na Mafaraoh! wa Misri, eti walianza kutawala Dunia kabla ya Yesu!
Kumbuka tu kuwa Nefilim walikuwepo kabla na baada ya GHArika utawajuaje sasa..... kazi ipo.....