Ze observer
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 233
- 493
Rotary clubs ni kama NGO japo haziko registered kama NGO,, ila mara nyingi zinahusika katika kutoa misaada na mahitaji mbalimbali katika jamii zisizojiweza, pia hutoa elimu, hamasa na kudevelop leadership skills kwa wale members wake!
Mimi nilipokuwa chuoni nilipata bahati ya kujiunga baada ya kukutana na member mmoja aliyenishawishi kujiunga,,, level za huku chini nilipojiunga mimi haziitwi Rotary clubs bali ni Rotaract club na inakuwa sponsored na Rotary club ya eneo husika tulipokuwa!!
Tumeshiriki kwenye events mbalimbali za kijamii, kuna exposures ya kukutana na foreigners, kucreate network, kukutana na viongozi wa rotary clubs za nchi nyingine, pia viongozi wa Kiserikali nchini.
Na ndo ikawa mara ya kwanza kwangu mimi na other members kukanyaga Serena Hotel enzi hizo ikiitwa (Moven Pick hotel) na kupata dinner, pia kufika sehemu mbalimbali!
Hvyo ndugu usiache kujiunga kama umepata fursa hio,,, hakuna gharama!!
Unaweza fafanua zaidi?Great! Inaonekana ulikua member mzuri sana usiyefika Nyuma ya mda.
Kifupi wambie kuwa MOTTO wa Rotary/Rotaract ni "Service above self". Niliwahi kuwa Chartered president wa hii kitu somewhere somedays.
Try me.
Ukipata connection nichek na mmRotary clubs ni kama NGO japo haziko registered kama NGO,, ila mara nyingi zinahusika katika kutoa misaada na mahitaji mbalimbali katika jamii zisizojiweza, pia hutoa elimu, hamasa na kudevelop leadership skills kwa wale members wake!