ROSTAM VS TAMADUNI MUSIC

ROSTAM VS TAMADUNI MUSIC

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
899
Reaction score
1,232
Tumalize ubishi jamani nani wakali??
Tumeona Vijana watamaduni wanawatupia maneno Rostam kama waimba ngonjera wakati rostam wakijibu wao wanafanya biashara miziki ya kusifiwa magetoni washaacha.
Tukieka pembeni matambo nani wakali??
download.jpg
download%20(1).jpg
 
Mpambano kati ya hip hop na bongofleva, kila mtu kashinda upande wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom