Rostam, Mkapa kuungana kampeni za CCM Igunga

CCM,hizo nguvu mnazotaka kuzitumia zinaashiria nini? mnatumia hadi silaha ya mwisho kwa uchaguzi mdogo? hayo yangefanywa na upinzani hatutashangaa.CCM kama mmefikia hatua ya kumtumia Rais wetu mstaafu,ni dalili za kufilisika kimtaji wa watu wanaokubalika ktk chama.Hiyo ni dharau kwa Mh mkapa na ni kumshushis hadhi,hakika hastahili kufanya kazi za upiga debe,Mkapa ni mtu wa kitaifa na kimataifa hivi sasa,anategemewa na UN ktk mambo mengi ya msingi kimataifa,Si wa majukumu ya kitoto kama ya kumnadi mgombea ubunge.Walau kumnadi raisi wa nchi.Ni dhihaka na aibu kwake kama kweli atakubali kufanya ukonda,na TAFADHALI ASIJIDHALILISHE,NA ASIKUBALILISHWA,SI STAHILI YAKE.Kama ccm wanadhani hawatashinda bila mkapa,ni aibu.
<br />
<br />
Nadhani huyu ndiye anafaa sana kwa kampeni hizi. Si unakumbuka alivyowaita wapinzani kokoto?
 
Kama Mkapa ana hamu ya kujidhalilisha mwacheni apende majukwaani avuliwe nguo mpaka akome. Mtu mwenyewe ana kashfa kibao watu wanammzea tu.
 
che nkapa atasaidia kampeni ukizingatia ndiye atakuw mgombea urais 2015 katiba inamruhusu
 
Back
Top Bottom