Bila kuwa mnafiki kamwe hauwezi kuwa mwanachama wa CCM,hivi kweli rostam anaweza kwenda igunga kupiga kampeni!!?Tusubiri
Mnafik ni wewe, RA anapendwa Igunga kuliko kiumbe yoyote. Kafanya makubwa huko kuliko mbunge yeyote wa Tanzania.
Kwa mara ya kwanza imebidi nikubaliane nawe,nilipita Igunga miaka kadhaa iliopita watu wa pale hawasikii wala hawaambiwi kibaya kuhusu chifu wao R.A.Mnafik ni wewe, RA anapendwa Igunga kuliko kiumbe yoyote. Kafanya makubwa huko kuliko mbunge yeyote wa Tanzania.
Mnafik ni wewe, RA anapendwa Igunga kuliko kiumbe yoyote. Kafanya makubwa huko kuliko mbunge yeyote wa Tanzania.
the king maker, anahakikisha anamrithisha amtakae yeye. Magwanda mlie tu.
Ni kweli , hakuna mbunge tapel,wa kiwango cha RA kuwahi kutokea (ofcourse ndani ya Ccm matapeli wamejaa kuanzia M/kiti hadi mjumbe shina), kwa hivi kafanya makubwa.Mnafik ni wewe, RA anapendwa Igunga kuliko kiumbe yoyote. Kafanya makubwa huko kuliko mbunge yeyote wa Tanzania.
hivi hili likoje mbona silielewa hivi mwenye majina kamili ya huyu mtu ayaweke hadharani maana na hisi ni mwendawazimu,Nadhani atakuwa ni msaada mkubwa sana kwa CCM. Huyu mzee huwa haogopi mtu yeyote, nakumbuka alivyodiriki kuwaita Chadema KOKOTO pale Jangwani. Chadema walilalamika sana lakini jamaa hata hakuogopa.
Mkuu hizo ni propaganda hakuna cha Rostam kwenda kule jamaa ataki kusikia siasa UCHWARA ZA CCCM,MAJI TAKA, ni alakati za kuwaaadaa watu wa igunga na Rostam.Rostam Aziz! huyu jamaa bado ana ushawishi mkubwa Igunga, kwa jinsi nilivyoona siku ile watu wazima wakimwaga machozi!
Hivi Rost atawaambia nini wakati alishatoa sababu za kujiondoa kwenye chama.Na hapa ndipo CCM wanapojimaliza kwa miaka ijayo, wao wanadhani kushunda kwao pale Igunga kutawasaidia sana, tena kwa kumtumia mtu yule yule walio muaita muiita fisadi, haya tujipe muda.
wale walikuwa watu wa kukodi ambao walilipwa ushaidi upo mkuu, nasikia hata rehersal zilifanyika kuhamasisha hilo mkuu ulizia watu wa huko watakujiri.Rostam Aziz! huyu jamaa bado ana ushawishi mkubwa Igunga, kwa jinsi nilivyoona siku ile watu wazima wakimwaga machozi!