Rostam kukutana na waandishi wa habari

Status
Not open for further replies.
- Ooooh! he is just spinning kwa ajili ya fisadi papa Rostam, wakati wananchi tuna uchungu na taifa letu? it is strange no?



William.

Bro ni kweli na inauma --- lakini kwenye vita kama hii sometimes we need a few vibaraka ili wawe wanatoa the other side [japo kichwa] ili u-test the salt

i believe Mengi is not fighting a losing battle because he is not alone and what has just started is the proper "POWER TO THE PEOPLE MOVEMENT" that will never be stopped hata kama Mengi hataona mwisho wake!!!!!!!!! Hata MLK Hakuona Obama being the president

WE DO THESE THINGS FOR OUR FUTURE GENERATIONS = UTAMU UTAKUJA PALE WAJUKUU WA MAFISADI WATAKAVYOSOMA VITABU VIPYA VYA HISTORY NA MAJINA YA WAZAZI WAO YAKIWA IN DARK PRINTS SHOWING THE DARKEST DAYS OF OUR HISTORY
 
kwa kweli huyu jamaa ni Mafia sio kidogo, ni kitendo cha ajabu jamaa kuwa na makampuni kibao lakini jina lake halimo popote, hebu tusubiri hiyo saa tano tuone ataongea nini
 
kwa kweli huyu jamaa ni Mafia sio kidogo, ni kitendo cha ajabu jamaa kuwa na makampuni kibao lakini jina lake halimo popote, hebu tusubiri hiyo saa tano tuone ataongea nini
Kama ilivyokuwa mwaka jana, mwandishi wetu tuliyemtuma pale Kempinski kagonga mwamba! Amekataliwa kuingia kwenye Press Conference hii. Ni kwa wenye mwaliko maalum...!

Tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha tunaweza kwenda nao live. Once done tutawafahamisha.
 
Mpaka sasa Rostam hajaanza Press Conference yake. Mwandishi wetu anajaribu namna ya kupenyeza kinasa sauti walau tupate audio version ya alichokiongea.
 

Press conference by invitation only. Lord Have Mercy!

Amandla...........
 
Mkuu tuko pamoja je unajua ni waandishi kutoka vyombo gani wamealikwa? au ni wahariri tu?
 

Kwa hoja hizi za Dilunga tunapaswa kufikiri kwa makini sana,la sivyo samaki aliyeko ndoanoni "atatuponyoka"
 
Wandungu,

Punguzeni munkari katika masuala ya kitaaluma. Majibu ya DILUNGA ni kukosoa strategy ya Mheshimiwa Sana Mpambanaji Asiyechoka Mwanakijiji.

ROSTAM ni fisadi lakini kama alivyoweza kutumia kipaji cha akili alichopewa na mungu katika kuasisi, kusimami, kulinda na kufaidika na ufisadi ni wazi atatumia kipaji kichohicho kujiandaa kwa Press Conference hii. Ni wazi tayari ameshajiandaa na majibu ya maswali yote hayo. Sio tu katika kujinasua/kujisafisha lakini hata pia kuset ajenda katika mapamabano haya ambayo siku hizi za karibuni nimekuwa nikihoji kama kwa kweli ni mapambano dhidi ya ufisadi ama mapambano kati ya MAFISADI wa ARI MPYA na MAFISADI WAZOEFU na WALINZI WA MFUMO FISADI.

Haitokuwa ajabu kama maswali hayo yakaulizwa na haohao mnaowaita makuwadi wa ROSTAM (Kwangu mimi ni makuwadi wa unyng'au) na ROSTAM akatoa majawabu waliyokubaliana kabla ya kuja hapo.

Tupunguze jazba na propaganda hovyohovyo katika jukumu la kuikomboa tanzania yetu kwenye MFUMO FISADI na maajenti wake.

omarilyas
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…