Umesema ukweli. Tanzanians we can talk the talk but we can't walk the walk. Siasa za jukwaani tunaweza ila utekelezaji sasa. Ndiyo maana kuna miradi mingi iki tangazwa mpaka mwenyewe utapenda ila ikija kwenye kutekeleza misaada hiyo hakuna chochote. Tatizo Tanzania rushwa kila sehemu. Hata hela zilizo lengwa kusaidia wagonjwa, masikini na watu wenye shida zinaliwa.
Hapa wengi tuta piga kelele ila 2010 matokeo yale yale na ni kwa sababu wenye kuongea tu ni wengi kuliko wanao tenda. Tanzania ufisadi siyo tatizo pekee, hata mentality ya what inatia wasi wasi.
Ndiyo maana Dewji yeye kajiamulia kufadhili zake mpira katulia. Wengi wana lalamika oh tuna wabagua tuna wabagua mbona wakina Dewji hawaja tajwa kama mafisadi papa.
Lakini you can't control others, the best you can do is control yourself & hope others do the same. Tuta jaribu kubadilisha taifa lakini watu wenyewe wasipo taka kubadilika kazi ipo.
Hii ingekuwa ni vita ya Risasi, sisi walala hoi tungekuwa karibia kwisha na pengine jeuri yetu kutupwa lupango ioze huko.
Kwa sababu hii bado ni vita ya maneno, ni heri kwetu walala hoi wa ndani na wa ughaibhuni kwa sababu kibano kinazidi kuwaandama Mafisadi kila dakika.
Mafisadi hawawezi kukwepa kibano hiki kwa sababu kila liibukapo jambo kazi kubwa kwao siyo kurekebisha mambo, kazi yao kubwa ni kulinda heshima yao isipinde wala kuingia ukungu kwa gharama ya kuvunja taratibu na kusema uongo pia kulazimisha hoja. Kwa kufanya hivyo tu, kuvunja taratibu, wanajitengenezea kashfa za kesho kiulaini.
Mafisadi walikaa chini pale ikulu kuandaa mikakati ya kuiba na kugawana kisicho chao, hata siku moja hawakuwahi kuota kwamba siku itafika siku ambayo watawajibika kwa wananchi na kutakiwa kutoa maelezo ya kina juu ya wizi uharamia na uuaji wao.
Mafisadi bado wanaamini kwamba Utawala wao ni wa kudumu kwani hawaoni kati yetu nani mwenye uwezo wa kukali viti vyao na makalio yake madogo.
Mafisadi hawana plan yeyote ya maana ya kujikinga na mashambulizi yetu kwa sababu plan hiyo haijawahi kuwekwa mezani kwani haikuwa ni plan ya lazima.
kila liibukapo jambo, kila mmoja hutoka kivyake na kusema mbovu na kuishia kimya kimya.
Ni juzi tu hapa wamesema mengi sana kwa vile tu Kanda mkuu na Bosi wa Idiologi ya CCM MH Rostam Aziz alipakwa tope la usoni.
Ni haki yao kumlinda mtu mwenye IQ kubwa ya kujenga umoja wa Chama kama Rostam Aziz. Huyo ni Juche mshauri mkuu wa MaoTse Tung.
Endelezeni mapambano yenu.
Vita ya maneno nayo ni vita.
Amin alikuwa na akili kuliko Nyerere? Kuwafukuza wahindi ndizo akili hizo?Unajua Idd Amin alikuwa na akili nyingi kuliko Nyerere !!! sasa ndiyo nagundua, kumbe Amin aliona mbali sana kuliko Nyerere, hawa magabacholi hawafai hata kwa dawa!!. Nafikiri turudi tena tulikotoka na kuchukua uamuzi wa Idd Amin Dada.
Mnajua hapa mnamfanya Kubenea kuwa ni Mungu na kila analosema ni kweli,
mimi nakwambieni kuwa Rostam hajawahi kufanya kazi ya kuuza mahindi,
tena hio kampuni wala haijapata kuwa na jina lake......
lakini kwa kuwa wamedanganya kuwa ripoti ya CIG imesema hivyo kabla ya kuchangia hapa
wngapi mnaweza kusema mmeiona ripoti hio au mnamsikiliza tu kubenea wenu kilaza namba moja
Mbona katika hiyo repoti hakuna kipengele kinachosema RA anahusika na uchafu huu?. Labda macho yangu yamepitiwa na kushindwa kukiona kipengele hicho.
Nenda CCRBT
WANATIBU BURE UGONJWA WAKO
Swadaktaaaa, hiri rijamaaaa kila mahala palipo na feza chafu ukinusa vizuri utalikuta, hebu angalia Caspian inafanya kazi migodini kuchimba udongo lakini ili rikwepe kulipa mshahara kima cha chini wa kwenye migodi (Tsh 350,000/=) basi likaandikisha kuwa Caspian Viwanda na Biashara? halafu anajifanya anapenda wanainchi, Mzurumati mkubwa wa haki za wanainchi, na hao CCM wanazidi kumkumbatia wakati anazidi kuongeza mfarakano ndani ya chama chao kwa kuanza kuwapangia safu ya wabunge wa 2010 kwani tayari kesha anza kufadhili anaowataka yeye , Tusubiri tumbwiritumbwri wakati ukifika tutaona mgawanyiko wa Tarime Tanzania mzima
Mnajua hapa mnamfanya Kubenea kuwa ni Mungu na kila analosema ni kweli,mimi nakwambieni kuwa Rostam hajawahi kufanya kazi ya kuuza mahindi,tena hio kampuni wala haijapata kuwa na jina lake......lakini kwa kuwa wamedanganya kuwa ripoti ya CIG imesema hivyo kabla ya kuchangia hapa wngapi mnaweza kusema mmeiona ripoti hio au mnamsikiliza tu kubenea wenu kilaza namba moja
Kweli mkuu,
Yaani huyu jamaa alitakiwa apigwe PI aondoke nchini aende huko Canada au Irani. Na mpango wake wa kuweka wabunge wake ni juhudi tu za ili aje awaweke kwenye safu ya uwaziri ikiwa JK ataendelea kuwa rais kwani tunaona jinsi anavyoitawala nchi hii. Na huyu jamaa ni mafia kwelikweli. Wabunge waliokinyume naye ikiwa atafanikiwa kuwaengua kwenye kura za maoni dawa ni wao kuihama CCM na kujiunga na upinzani na watakuwa na hoja nzito za kushawishi wananchi kwa nini wasiichague CCM ha hii kwa hakika itaongeza nguvu ya upinzani bungeni na hatimaye kupata rais toka vyama vya upinzani. MUNGU ana njia zake za kuleta mafanikio kwa watu wake, tuendelee kuomba, saa ya ukombozi i karibu.
Taratibu mkubwa. Chunga maneno unayoandika waweza kujipatia laana bure. Huwezi kumweka mwanadamu kwenye nafasi ya Mungu hata siku moja. Mtetee tu mteja wako (Rostam) kwa lugha nzuri. Be careful, ohoooo!
Bubu wenye JF kina nani?...unafikiri bila mimi na wewe n others kutakuwa na JF?
Tatizo lako upo kama Mwanakjj anaamini kila analofanya yupo Sahihi. Hata kukubali kosa unashindwa...naona nawe ushaanza kupata blind follower...Mwafrika.
Halafu zikijaa thread mnaanzisha thread ya kupongezana...? Kweli kama Huu ndio usomi wenu basi tuna kaz huko mbele ya safari.
Mwafrika elewa kuwa mie na support at any cost Mafisadi wote papa na nyangumi waanikwe. na wale wanaojifunza ufisadi pia waanikwe....Ila wakati tunawalaumu viongozi kufanya recycling ya viongozi nyie mnachofanya n hicho hicho ktk mathread.
Unajua Idd Amin alikuwa na akili nyingi kuliko Nyerere !!! sasa ndiyo nagundua, kumbe Amin aliona mbali sana kuliko Nyerere, hawa magabacholi hawafai hata kwa dawa!!. Nafikiri turudi tena tulikotoka na kuchukua uamuzi wa Idd Amin Dada.
If you were to wish only one thing.. Who wouldn't wish to be as Rostam?