zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
Akizungu mzia utafiti uliofanywa juu yake alisema umefanyika kiumakini isipokuwa kwa upande wanasema anamili hisa za kampuni ya Simu 19% si sahihi anamiliki 35%.
Source;Mwananchi.

na wewe unamiliki nini?
Ni Kweli Kabisa. Before Rostam alikuwa anamiliki 19% Peter Noni alikuwa anamiliki 16% sasa Rostam na Peter Noni wakauza Hisa Zao zote kwa Caspian Construction Co. LTD (Ambaye mnamjua mmiliki wake)

hivi shivacom ni nani?
Mkuu sahihisho hapo. 65% inamilikiwa na Vodacom Group (pty) Ltd na hiyo 35% ni Mirambo Limited.
cheki link hii hapa chini
Who we are
nadhani ni mtu anaitwa Sumaiya na ndiye mmiliki wa ultimate security company