ROSTAM AZIZI;Nina Miliki hisa 35% na Si 19% kampuni ya VODACOM.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,216
Akizungu mzia utafiti uliofanywa juu yake alisema umefanyika kiumakini isipokuwa kwa upande wanasema anamili hisa za kampuni ya Simu 19% si sahihi anamiliki 35%.
Source;Mwananchi.
 
Ni Kweli Kabisa. Before Rostam alikuwa anamiliki 19% Peter Noni alikuwa anamiliki 16% sasa Rostam na Peter Noni wakauza Hisa Zao zote kwa Caspian Construction Co. LTD (Ambaye mnamjua mmiliki wake)
 
Last time alikuwa anamake 4 mill usd per day sijui sasa hivi halafu still watu wanasema bakhresa tajiri
 
Kweli hamna haja ya kuwapa uongozi matajiri , aliongoza Igunga kwa hela zote hizo na bado hata maji hapo mjini hamna!
 
Inamaanisha kila tukinunua vocha moja ya voda ya shilingi 1000, shilingi 350 inakwenda kwa rostam aziz as a 35 parcent sasa imagine anatengeneza bei gani per day as voda ina claim kwamba ina wateja million 4 sasa si balaa hili, dah Tanzania ni zaidi ya uijuavyo,
 
Ni Kweli Kabisa. Before Rostam alikuwa anamiliki 19% Peter Noni alikuwa anamiliki 16% sasa Rostam na Peter Noni wakauza Hisa Zao zote kwa Caspian Construction Co. LTD (Ambaye mnamjua mmiliki wake)

Wanamiliki hizo hisa zote kwa niaba yao wenyewe au kuna watu nyuma?
 
Ni Kweli Kabisa. Before Rostam alikuwa anamiliki 19% Peter Noni alikuwa anamiliki 16% sasa Rostam na Peter Noni wakauza Hisa Zao zote kwa Caspian Construction Co. LTD (Ambaye mnamjua mmiliki wake)

Mkuu sahihisho hapo. 65% inamilikiwa na Vodacom Group (pty) Ltd na hiyo 35% ni Mirambo Limited.

cheki link hii hapa chini

Who we are
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom