Rostam Azizi mwanasiasa na mfanyabiashara aliefanya forecast ya wapi aishi: Yuko wapi siku hizi?

Musoma Yetu

JF-Expert Member
Mar 11, 2016
2,629
2,288
The "king master" ndugu yetu huyo aliechana na siasa uchwara za Tanzania nadhani atakuwa amebobea yale mahesabu ya kiuchumi na mahesabu" economic forecast and modelling"

Maana naona alifanya hesabu sahihi kwa wakati sahihi.

Mi metamani tu aje atusalimiepo huku Tanzania!
 
Hao wahindi watakusaidia nini? ? Mbona miafrika mnapenda sana kujipendekeza?
 
The "king master" ndugu yetu huyo aliechana na siasa uchwara za Tanzania nadhani atakuwa amebobea yale mahesabu ya kiuchumi na mahesabu" economic forecast and modelling"
Maana naona alifanya hesabu sahihi kwa wakati sahihi.
Mi metamani tu aje atusalimiepo huku Tanzania!
Huyo ni Agent wa CIA alishasoma nyakati mapema na yupo abroad anafanya yake
 
The "king master" ndugu yetu huyo aliechana na siasa uchwara za Tanzania nadhani atakuwa amebobea yale mahesabu ya kiuchumi na mahesabu" economic forecast and modelling"
Maana naona alifanya hesabu sahihi kwa wakati sahihi.
Mi metamani tu aje atusalimiepo huku Tanzania!
Anaishi Dubai
 
Back
Top Bottom