Jamani wana JF kuna habari kuwa eti wale vigogo wawili Rostam Aziz na Basili Mramba wameshwindwa kufurukuta kwenye majimbo yao hizi habari jamani ni kweli??
Jamani wana JF kuna habari kuwa eti wale vigogo wawili Rostam Aziz na Basili Mramba wameshwindwa kufurukuta kwenye majimbo yao hizi habari jamani ni kweli??
Rostam ndiye mwizi mkubwa na amefanya mambo mengi kuwaghiribu wana igunga. lazima atashinda japo maisha yake kisiasa yataanza kuwa mashakani mara moja.:A S angry:
habari kutoka Moshi ni kwamba fisadi Mramba amekimbizwa hospitali KCMC presha inapanda presha inashuka nahii ni dalili mbaya sana inaelekea safari ya Segerea/Keko inakaribia