rostam ni tumaini jipya ndani ya chadema kwa sasa kwa maoni yako????
Sasa hv Chadema na CCM wanashindana kwa tuhuma
huwezi elewa maana we ni kijna wa ccm:smokin:sijakuelewa, kwahiyo unamaanisha rostam ni msafi sasa na ni shujaa kwako na kwa chadema!!!!
Alhamdulilah lillah, Leo Rostam yuko na Chadema na Dr.Slaa yuko against Chadema. Haya sio Maigizo ni Siasa za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shikamoo Zitto uliesema tuwe tunaweka akiba ya Maneno na Tusiamini Wanasiasa hata kama ni wa Upinzani
dr. Slaa kapulizia dawa ktk shimo la mende, mende wanatoka shimoni sasa hoi!
Rostam Kibaka anayevaa suti rudisha familia yako Tanzania kwanza tujue wewe ni mwenzetu mnatumia watu hapa ile hali familia yako inakula bata dubai
huwezi elewa maana we ni kijna wa ccm:smokin:
sawa nimekuelewa mtaani kwangu mpo wengi!!!!!!!!!mkuu fundi25 mimi si mwanachama wala mpenzi wa ccm
Babu Slaa atoke sasa aje kujibu tuhuma za Mbatia na Rostam maana jana alibwabwaja kuwa hajamaliza silaha zote.
Amtaka Slaa kujitokeza hadharani kuthibitisha kauli zake. Akanusha kuisaidia CHADEMA. Asema Slaa ana historia ya uzushi.
Chanzo: Channel 10
Nani kakwambia Rostam yupo chadema acha uwongo,kaa na huyo yuda wako Zitto usitafute kick