Rostam Aziz, ndiye tajiri namba moja Tanzania kwa sasa!!!

Rostam na mitambo yake ya kufua umeme kama Symbion amesababisha bei ya umeme kuwa kubwa na kutesa watanzania wengi kwa miaka mingi...

Mo Dewji ameingiza mbolea feki nchini mwaka huu na kutesa maelfu ya wakulima waliozalisha kidogo na sasa wanakabiliana na janga la njaa kali. Pia huyu jamaa kwa miaka mingi anaingiza nchini vyakula vilivyooza na kuwauzia watanzania huku serikali inaangalia. Mwaka Jana alikula dili na Pinda akaingiza mchele usio na ladha na kuvuruga soko la mchele mpaka Leo wakulima wanatabika.

Kwangu Mimi tajiri Ni Bakhresa Tu kwa vile kila siku natumia bidhaa zake, mara nyingine bila kupenda lakini sio hao wengine majizi. Its hightime kwa TRA kuweka wazi rekodi zao za ulipaji kodi tulinganishe na utajiri wao maana karibu wote hao hela walizotuibia ndio zimewaweka hapo. CCM oyeeeeee
 
Rostam na mitambo
yake ya kufua umeme kama Symbion amesababisha bei ya umeme kuwa kubwa na
kutesa watanzania wengi kwa miaka mingi...

Mo Dewji ameingiza mbolea feki nchini mwaka huu na kutesa maelfu ya
wakulima waliozalisha kidogo na sasa wanakabiliana na janga la njaa
kali. Pia huyu jamaa kwa miaka mingi anaingiza nchini vyakula vilivyooza
na kuwauzia watanzania huku serikali inaangalia. Mwaka Jana alikula
dili na Pinda akaingiza mchele usio na ladha na kuvuruga soko la mchele
mpaka Leo wakulima wanatabika.

Kwangu Mimi tajiri Ni Bakhresa Tu kwa vile kila siku natumia bidhaa
zake, mara nyingine bila kupenda lakini sio hao wengine majizi. Its
hightime kwa TRA kuweka wazi rekodi zao za ulipaji kodi tulinganishe na
utajiri wao maana karibu wote hao hela walizotuibia ndio zimewaweka
hapo. CCM oyeeeeee
Mkuu hapa umenena vyema.
 
Mwenye data please,Mengi,Mo,Bakhresa wote tunajua biashara zao(angalao chache) haya huyu NO 1,biashara zake ni zipi??????kumbuka alishakanusha kuwa RICHMOND sio yake sasa yake ni ipi mpaka kuwa number 1??
Rostam na mitambo yake ya kufua umeme kama Symbion amesababisha bei ya umeme kuwa kubwa na kutesa watanzania wengi kwa miaka mingi...

Mo Dewji ameingiza mbolea feki nchini mwaka huu na kutesa maelfu ya wakulima waliozalisha kidogo na sasa wanakabiliana na janga la njaa kali. Pia huyu jamaa kwa miaka mingi anaingiza nchini vyakula vilivyooza na kuwauzia watanzania huku serikali inaangalia. Mwaka Jana alikula dili na Pinda akaingiza mchele usio na ladha na kuvuruga soko la mchele mpaka Leo wakulima wanatabika.

Kwangu Mimi tajiri Ni Bakhresa Tu kwa vile kila siku natumia bidhaa zake, mara nyingine bila kupenda lakini sio hao wengine majizi. Its hightime kwa TRA kuweka wazi rekodi zao za ulipaji kodi tulinganishe na utajiri wao maana karibu wote hao hela walizotuibia ndio zimewaweka hapo. CCM oyeeeeee
 
Kodi TRA wamelipa kiasi gani?Pia Jarida la Forbes kwa bahati mbaya halizingatii utajiri ulipatikanaje na kuwaengua wale wenye tuhuma za ufisadi hasa wanasiasa.Usishangae kwa Afrika hiyo List ikapinduka
 
Rostam na mitambo yake ya kufua umeme kama Symbion amesababisha bei ya umeme kuwa kubwa na kutesa watanzania wengi kwa miaka mingi...

Mo Dewji ameingiza mbolea feki nchini mwaka huu na kutesa maelfu ya wakulima waliozalisha kidogo na sasa wanakabiliana na janga la njaa kali. Pia huyu jamaa kwa miaka mingi anaingiza nchini vyakula vilivyooza na kuwauzia watanzania huku serikali inaangalia. Mwaka Jana alikula dili na Pinda akaingiza mchele usio na ladha na kuvuruga soko la mchele mpaka Leo wakulima wanatabika.

Kwangu Mimi tajiri Ni Bakhresa Tu kwa vile kila siku natumia bidhaa zake, mara nyingine bila kupenda lakini sio hao wengine majizi. Its hightime kwa TRA kuweka wazi rekodi zao za ulipaji kodi tulinganishe na utajiri wao maana karibu wote hao hela walizotuibia ndio zimewaweka hapo. CCM oyeeeeee
symbion ni ya akina hillal clinton sio rostam.
 
Katika orodha hiyo bona wa darisalaam tu? Wale mabilionea wetu wa Arusha Vipi?

AR kuna matajiri? Hamna kitu hapo mambo yote Dar tu! Mipango yote Dar huko wa AR wameathiriwa sana na maandamano yasiyo na tija hata watalii wamepungua sana!

Na ukifunguliwa uwanja wa ndege wa Serengeti ndio balaa kwani Mwanza ndio itapaa
 
Duu!!!,tuombe uwanja huo husifunguliwe kwani wanyama wote ndio watahamishiwa Oman,mungu apushie mbali
 
naunga mkono hoja yako mkuu...tajiri nchi hii ni Bakhresa...period!
Rostam na mitambo yake ya kufua umeme kama Symbion amesababisha bei ya umeme kuwa kubwa na kutesa watanzania wengi kwa miaka mingi...

Mo Dewji ameingiza mbolea feki nchini mwaka huu na kutesa maelfu ya wakulima waliozalisha kidogo na sasa wanakabiliana na janga la njaa kali. Pia huyu jamaa kwa miaka mingi anaingiza nchini vyakula vilivyooza na kuwauzia watanzania huku serikali inaangalia. Mwaka Jana alikula dili na Pinda akaingiza mchele usio na ladha na kuvuruga soko la mchele mpaka Leo wakulima wanatabika.

Kwangu Mimi tajiri Ni Bakhresa Tu kwa vile kila siku natumia bidhaa zake, mara nyingine bila kupenda lakini sio hao wengine majizi. Its hightime kwa TRA kuweka wazi rekodi zao za ulipaji kodi tulinganishe na utajiri wao maana karibu wote hao hela walizotuibia ndio zimewaweka hapo. CCM oyeeeeee
 
Mwenye data please,Mengi,Mo,Bakhresa wote tunajua biashara zao(angalao chache) haya huyu NO 1,biashara zake ni zipi??????kumbuka alishakanusha kuwa RICHMOND sio yake sasa yake ni ipi mpaka kuwa number 1??

Hizi data zinaweza kuwa na walakini mwanzoni mwa mwaka huu kama sikosei waliripoti utajili wa bakhresa kufikia dola milion 620 sasa hivi taarifa zimekuja zinaonyesha umefikia dola milion 500! Tofauti ya dola milion 120 ni kubwa mno kama ni hasara razima tungeona baadhi ya viwanda vikifungwa na wafanyakazi wakipunguzwa.

Kuhusu kazi za Rostam nasikia ana hisa nyingi sana vodacom(Tz) ana kampuni kubwa inaitwa Caspian ambayo ni maarufu katika shighuli za ujenzi lakini imejikita zaidi kwenye madini kama sikosei hiyo kampuni sasa hivi ndo imeichukua mwadui.
 
Back
Top Bottom