Magezi,sasa mtu siyo raia wa tanzania, je passport ya tanzania amepataje?
Magezi,
Kuna rafiki yangu World Bank anatoka Lebanon. Aliniambia mdogo wake alinunua pasipoti ya Tanzania kwa dola elfu mbili. Kwa hiyo sishangai kama kuna watu wasio Watanzania wana pasipoti za Tanzania.
Dilunga,
Lakini ile ya kuvuliwa uraia Mwanakijiji kaiwekea question mark. It was just another way of drawing your attention to the article.
Hakuna mwandishi anayeweza kumuuliza Rostam alisoma shule ya msingi ya wapi, na alisoma Chuo Kikuu cha wapi na mwaka gani? Hakuna ambaye anaweza kumuuliza wazazi wake ni raia wa wapi na wako wapi. Sababu ni kuwa kufanya hivyo kutamfanya mwandishi huyo aangaliwe vibaya na wengine!!
Kinachonishangaza ni vyombo vya dola (TISS, Uhamiaji na Polisi) na CCM kutokuwa tayari kumchunguza.
Sidhani kama inawezekana hili kwa hali iliyopo sasa.....vinginevyo itakuwa ni kama kambale walio tumboni mwa nyangumi kumchunguza nyangumi aliyewameza!
Yaani, tumeshindwa kum-nail RA kwa ufisadi wake sasa tunaangalia uraia? What difference does it make?
Fisadi+Tanzanian, Fisadi+Non-Tanzanian they all deserve to be locked up and the key thrown away.
Dilunga,Sawa kabisa Jasusi, absolutely right, kichwa cha habari ni swali, lakini ndani aya ya kwanza mwandishi ametoa assertion kwamba huenda Rostam akavuliwa uraia halafu, badala ya kuonyesha kuna nini kimetokea, unakuta mwandishi huyo huyo anasema hii status quo hii haiwezi kumfanya kitu Rostam.
Sasa, which is which, Jasusi hebu nisaidie, maana mimi ni "mkaanga sumu." Wewe you are as fair-minded as they come, we nambie, Mwanakijiji ana speculate kwamba Rostam may be in trouble au anasema Serikali haiwezi kumgusa Rostam? Kipi ni kipi?
Halafu unapotoa nukuu mia nne za sources bila kutaja hata mmoja, mi msomaji nitajueje hujatunga? Kwa nini nikuamini wewe? Wafuasi wako watakuamini, ndio, lakini kama unataka ku convince wengi zaidi ili twende tukapige kura kuondoa status quo basi jaribu ku reach beyond the kwaya, wana kwaya wameshakubali somo, katoe injili Jangwani ku convert wengine upanue zizi la kondoo wa bwana. Au basi angalau hao wafuasi wako waambie ukweli. Ukweli wenyewe tabu. Rostam yuko matatani, nani kamtia matatani, Mtikila? Kesha lipa deni?
Mbona swali la Dilunga nalo halijajibiwa? "source" wetu kishalipa deni?
Kwannini asifanyiwe kama Generali Ulimwengu ambaye tangu utoto wake kama sio kuzaliwa alikuwa Tanzania masikini? Au viongozi wetu wana mpango wa kukimbilia Iran baada ya 'ku-retire'?