Rostam Aziz kuvuliwa Uraia?


Hapo nilipotia rangi nyekundu. Hivi kwa mfano kama wewe ukifutwa uraia wako utaenda wapi? Kama ni mTanzania tutakupeleka wapi? Hatua zingine sawa lakini hili la kufuta uraia sijui litakuwa na maana gani.
 
Hapo nilipotia rangi nyekundu. Hivi kwa mfano kama wewe ukifutwa uraia wako utaenda wapi? Kama ni mTanzania tutakupeleka wapi? Hatua zingine sawa lakini hili la kufuta uraia sijui litakuwa na maana gani.
rostam si raia wa tanzania wa kuzaliwa kwa hiyo hakifutwa uraia anatakiwa kurudia uraia wake au kuomba uraia wa nchi nyingine vilevile kwa kutokuwa raia wa tanzania basi atapoteza uwezo wa kuwa kiongozi kwani sasa ni mbunge na mjumbe wa ngazi ya juu ya CCM ni mjumbe wa CC PIA KAMA Uraia wake ukisitishwa basi hatakuwa na huwezo wa kuwa na nguvu na ushawishi katika siasa na uongozi wa juu
 
Hapo nilipotia rangi nyekundu. Hivi kwa mfano kama wewe ukifutwa uraia wako utaenda wapi? Kama ni mTanzania tutakupeleka wapi? Hatua zingine sawa lakini hili la kufuta uraia sijui litakuwa na maana gani.

RA sio tu kwamba si raia wa kuzaliwa wa TZ ila pia ametumia sifa hiyo kuwa na "duo citizenship". Kwa mantiki hii anautumia uraia wa TZ kama mtaji tu kwa biashara na dili zake kama vile Dowans
 
duh!! Nimeishiwa nguvu,..... Basi nitarudi baadae.!
 
Tatizo hakuna chombo chochote kinachowweza kuthubutu kupata facts kutoka kwa wazee wa Igunga. Kama hata Mtikila alishindwa na kulegea. Sijui nani?:decision:
 
Rostam Rostam Rostam Aziz ni jina au wimbo ambao umezoeleka masikioni mwa Watanzania wengi.

Matatizo yetu, ufisadi utalisikia jina RA. Huyu mtu ni nani? Nimejaribu kufuatilia mtirliliko wa matukio yanayo muhusu mtu huyu CCM rais na serikali kwa ujumla. Kila ulipo ufisadi yupo.Kwani kila sehemu ni yeye? Kwanini sio Mwanakiji, Masanja, Rutashobya, Mwakipesile n.k.Huyu Rostam ni Myth ni mtu wa kufikilika ambae ametumiwa na mafisadi (CCM) kutudanganywa na kutuibia.

Mpango wao ulibuniwa vizuri na unaendelea vizuri. Sisi tunaendelea kuimba na kucheza Rostam! Rostam! yeye ni nani? Rais? Mfalme? Mungu mtu?!!! HAPANI HAPANA ROSTAM NDIO YEYE CCM.

ROSTAM ni kivuli cha ccm kinachotumiwa na mafisadi wa CCM na Rais kutuibia.Wakisha timiza mradi wao hatutakua na sehemu ya kuzitafuta pesa na rasilimali zetu wala huyo ROSTAM. Huo ni mpango uliosukwa vizuri na mafisadi wa CCM. Kwanza kuchagua kivuli ROSTAM wamemchagua mtu ambae historia yake na uraia wake ni utata mtupu hivyo hata atakapotoweka hatutakua na uwezo wa kumpata. Ndiyo maana hawakuchagua majina niliyoyataja hapo juu kama mfano. Kwani kwa mzawa na mtanzania mwenyeu chungu na nchi yake ingelikua vigumu kubeba kivuli hicho ROSTAM.

TUSIKUBALI KUDANGANYIKA NA KUELEKEZA NGUVU ZETU KUKISHUGULIKIA KIVULI ROSTAM AZIZ WAKATI ROSTAM MWENYEWE ORIGINAL(CCM) AMEKAA PEMBENI ANAENDELEA KUTUNYONYA WAKIISHA TIMIZA LENGO LAO AU TUKIWABANA TUTATANGAZIWA ROSTAM AMENYANG'ANYWA URAIA NA KUFUKUZWA NCHINI MCHEZO UMEKWISHA MAANDAMANO NCHI NZIMA KUMPONGEZA MH. RAIS, CCM NA SERIKALI KWA UAMUZI WA KIJASIRI! JK SHUJAA!!!!!!!!!!! Nyoyo zetu zimetulia! PESA ZETU, RASILIMALI ZETU, MATESO TULIYOYAPATA,MZIGO TULIOBEBESHWA NANI WA KUBEBESHWA?HAKUNA ROSTAM KIVULI HAYUPO TUNAMTAFUTA,ATAPOTEA KAMA DR. BALALI.

WATANZANIA TUSIDANGANYIKE TUELEWE YA WAZI YA KUA ROSTA AZIZ NDIYO HUYOHUYO CCM. TUFUTE MAWAZO KWA KUPOTEZA MUDA WETU KUPAMBANA NA ROSTAM AZIZ TUIBANE CCM NA UTAWALA SISI HATUMJUI ROSTAM MTU TULIEWEKIANA NAE MKATABA WA KUTUTAWALA NI CCM FULLSTOP...............ROSTAM AZIZ WANAMFAHAMU WAO. HIVYO WA KUWAJIBIKA NI CCM. TUKIJENGA HOJA ZETU HIVI ITAKUA VIGUMU KUTOWEKA NA RASILIMALI BILA KUWAJIBIKA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 

Duhh, sijui niseme nini, baadaye kidogo.:decision:
 
Kama kuna mtu anamjua amiri jeshi mkuu, mwenye majeshi ya JWTZ mpaka mgambo na polisi jamii, naomba anijuze
 

Yeah ROSTAM AZIZ ni FISADI lakini alikwenda CHUO KIKUU cha DAR ES SALAAM

Kwanini tunakwenda Out of Our COMFORT ZONE??? Wakianzisha Sheria ya Ku-SUE MTU kwa kumdai pesa na kumfilisi sijui wangapi watakuwa MITAANI...
 
Duhh, sijui niseme nini, baadaye kidogo.:decision:

Jamaa rostam ni bilionea wa dollars za marekani yaani kashiba kwelikweli.atapata uraia popote mbona kwa sasa anaishi ulaya tena the alpes uswisi.Kwani muhimu mtu kuwa raia au kuwa tajiri wa kutupwa?watoto wanatanua,mama yao usiseme,magari ya kifahari.nadhani mtu kama yule anahofia kifo tu.jamani tuache siasa kila mtu anatafuta maisha ya kifahari.
 
Rustam Sakarir Chakaar Abdurasul Aziz Rostam "Mchelee"!!

The King maker! I salute You!, kwa umri ulio nao Mzee umefanikiwa sana.

Pokea HONGERA kutoka kwangu ya dhati kabisaaaa!

FP

Yani bongo kunawatu wasio ipenda nchi. Mfano ni wewe unamsifia RA ni King maker. Ila kinacho nishangaza zaidi ni mikoa inayo wachaguwa hawa watu mpaka wanakuwa wabunge. Alafu wanalia baada ya jamaa kujiuzulu baada ya. Kuachia ubunge. Huko igunga kuna watu wanamna gani?
 

Nchi hii!!!!!
 
Hii inaweza kuwa ndio sababu ya ...
P
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…